DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Naunga mkono hojaKwa kifupi JF iingizwe kwenye mtaala ili watoto wasomeshwe mashuleni.
Over!!!
Kwa maudhui yapi?hii jamii forums ingekuwa SA Now ungekua mtandao namba moja africa
me naamini ni vile tu Serikali imeshiNDwa kutoa support...Asilimia kubwa ya maudhui ya JF kwa sasa Upande wa mijadala ni Papuchi, kugegeda, Kutafuta Mume/Mke na viupuuzi vingine vingine, Upande wa Jukwaa la Siasa ni Maudhui ya CHAWA tu ndio yana 'trend' Uki post mada nzito ama kufichua uovu fulani ndani ya Serikali Mada yako inapotezwa haraka na Mods. Upande wangu Kwa sasa JF imekua ni kama kijiwe tu cha kuja kupepesa macho.
Asilimia kubwa ya maudhui ya JF kwa sasa Upande wa mijadala ni Papuchi, kugegeda, Kutafuta Mume/Mke na viupuuzi vingine vingine, Upande wa Jukwaa la Siasa ni Maudhui ya CHAWA tu ndio yana 'trend' Uki post mada nzito ama kufichua uovu fulani ndani ya Serikali Mada yako inapotezwa haraka na Mods.
Upande wangu Kwa sasa JF imekua ni kama kijiwe tu cha kuja kupepesa macho.
Serikali ni mimi, wewe pamoja na wenye JF yao wanaopush content za hovyo hovyome naamini ni vile tu Serikali imeshiNDwa kutoa support...
Watabomoka waoMkuu Kuna mkakati unafanyika ili kuibomoa JF ndo maana unaona ujio mkubwa vijna wa hovyo
Hii ni culture iliyojiwekea JF sera ya faragha na hii ndio inaifanya kuwa ya kipekee tofauti na mitandao mingineKingine JF inaonekana kama haramu hivi, eti tunatumia kwa kujificha na hata huwezi kumwambia mtu kuwa umejiunga JF!!
Aya nenda twitTer ambapo P@rb hub imehamia hukoSerikali ni mimi, wewe pamoja na wenye JF yao wanaopush content za hovyo hovyo
[emoji736]️Asilimia kubwa ya maudhui ya JF kwa sasa Upande wa mijadala ni Papuchi, kugegeda, Kutafuta Mume/Mke na viupuuzi vingine vingine, Upande wa Jukwaa la Siasa ni Maudhui ya CHAWA tu ndio yana 'trend' Uki post mada nzito ama kufichua uovu fulani ndani ya Serikali Mada yako inapotezwa haraka na Mods.
Upande wangu Kwa sasa JF imekua ni kama kijiwe tu cha kuja kupepesa macho.