Naomba Serikali iwaambie Watanzania wote kujiunga Jamii Forums ili kuokoa kizazi hiki

Hata mimi tangu nimeifahamu jf miaka 7 iliyopita ulikua ni mtandao makini sana. Nondo kibao hadi kitaa watu wanauliza we jamaa hizi nondo unazijulia wapi.!?

Ila hasa hii miaka kuanzia 2020, watu wa hovyo wamevamia aisee, na kuna wale wa zamani ambao wameshakengeuka basi nao wanabadili id zao na kufungua nyingine. Wale walojisali kwa account mbili basi wanaanza kucomment ujinga kwa account nyingine.
 
Hii ni culture iliyojiwekea JF sera ya faragha na hii ndio inaifanya kuwa ya kipekee tofauti na mitandao mingine
Faragha ingeishia kwenye kuficha utambulisho [IDs] tu, ila hatuna fahari ya kusema hadharani kuwa natumia JF na hata kushirikisha watu wengine na kuwasihi wajiunge.
 
Sema kwa upande wako hizo ndio forum unazozifatilia,kuna forums nyingi sana hapa ukizifatilia na kuanza kusoma hadi muda utakukosa.
 
Wasomi wenye upumbavu pamoja na moderators wasiojielewa ndo wamechangia JF kua ya hovyo.
 
Ingekuwa kama reddit ilivyo pale USA
 
Faragha ingeishia kwenye kuficha utambulisho [IDs] tu, ila hatuna fahari ya kusema hadharani kuwa natumia JF na hata kushirikisha watu wengine na kuwasihi wajiunge.
Ukishatumia neno faragha automatically vingi vitaingia humo
 
Kabisa, binafsi natenga muda wa kuingia jamii forum kucheki na kujifunza mengi sana, kushiriki kutoa ushauri ama experience halisi ambazo nimepitia kwa uhalisia na siyo kuskia ama kuambiwa. Kusearch threads za aina mbali mbali kujifunza, ama kufurahisha ili ni cheke maana pia kuna watu wana akili za hovyo ila it's fun reading their threads and comments. Mada ambazo za vutia mfano usomaji wa vitabu unaweza kuta wana elezea juu ya reviews za vitabu mbali mbali na wewe unaweka kwa list of your next purchase books list and so much more. I wish watu watumie hii site vizuri.
I like it when I'm free from the busy and hard day kupitia hapa Jamii Forum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…