Naomba Serikali iwaambie Watanzania wote kujiunga Jamii Forums ili kuokoa kizazi hiki

Kwa kifupi hawa memba 620,000 wa jf wanatosha.
Naogopa mzabzab na Zero IQ
Wataiharibu jamii endapo karibu watu wote wa Tanzania watajiunga humu[emoji28]
 
Ni bora wasioutumia kuliko kuwa na wapumbavu Kama wewe humu
 
Jf kumejaa wajinga wengi mno, hakuna kiongozi makini atafatilia huu ujinga unaofanywa na members humu.
 
Sawa.Ila siyo sahihi kupata maarifa ya upande mmoja tu.Nawe uwe unatembelea mitandao mingine,kutazama filamu,kujichanganya katika maongezi ya jumuiya mitaani na usisahau kusoma vitabu mbalimbali.
 
Hao smart wapo wapi? Huyi tu aliyeleta hii post ni mjinga na mpumbavu wa mwisho. Fatilia mijadala na post zake.
 
Serikali haiwezi kuipa platform kubwa JAMII Forum hata kidogo, Ili mambo yaende sawa lazima uongoze watu wenye uelewa mdogo hata wakinyimea haki zao wakose awareness ya kudai.
Kama Tanzania tuna safari ndefu ya kuwa na population kubwa ya watu wanaojielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…