Kwa umbali huu hata ukimiliki v8 hakuna shida. Lita moja ya mafuta unatumia wiki nzima.working station ni kama 1.5km kwenda.
Mkuu 1.5Km gari ya nini? Utaifaidi vipi sasa?Kama ilivo heading,Kwa kipato chalaki sita keshi.ntaweza KUMILIKI Corolla sprinter,carina au ist second hand? Japo Kuna kibiashara kinaningizia japo 150000-220000 per month tofauti na kipato changu local government,naomba USHAURI Kwa wazoefu.
NB.naishi kwangu sijapanga,home to working station ni kama 1.5km kwenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Tafuta Vitz RS, Au Terios Kid, Na Huo Umbali 1.5km Full Tank Unatoboa Miaka Miwili Na Miezi Mitatu
Naishi kijijini sometime usafiri uanakuwa changamoto ukipata dharura,Mkuu 1.5Km gari ya nini? Utaifaidi vipi sasa?
Kuna dharura huwa zinajitokeza si unajua naishi kijijini,mara mojamoja kwenda home about 240kmMkuu 1.5Km gari ya nini? Utaifaidi vipi sasa?
With no reason!?????Kwa wenge la kumiliki gari utajikuta unaendesha 30Km au zaidi kila siku.
Ukipata gari nzima,utafurahia maisha.
Utapata tu reason ukimiliki! Nunua halafu urudi hapa.
Kama ndio hivyo basi nunua baiskeli ππππ just kiddingNaishi kijijini sometime usafiri uanakuwa changamoto ukipata dharura,
Sent using Jamii Forums mobile app
Bicycle & pikipik nnazo tayari mkuu.Kama ndio hivyo basi nunua baiskeli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] just kidding
Laki 6 ni kipato chake cha mwezi, si bajeti ya kununua gari.Sijawahi kuona mtu amenunua gari kwa bajeti ya laki 6 hata kama hiyo gari imechoka kiasi gani