Naomba shauri wa kumiliki gari ndogo

Naomba shauri wa kumiliki gari ndogo

Utam

Senior Member
Joined
Mar 17, 2023
Posts
151
Reaction score
216
Kama ilivo heading,

Kwa kipato chalaki sita keshi nitaweza KUMILIKI Corolla sprinter, carina au ist second hand? Japo Kuna kibiashara kinaningizia japo 150000-220000 per month tofauti na kipato changu local government, naomba USHAURI Kwa wazoefu.

NB: Naishi kwangu sijapanga, home to working station ni kama 1.5km kwenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ilivo heading,Kwa kipato chalaki sita keshi.ntaweza KUMILIKI Corolla sprinter,carina au ist second hand? Japo Kuna kibiashara kinaningizia japo 150000-220000 per month tofauti na kipato changu local government,naomba USHAURI Kwa wazoefu.
NB.naishi kwangu sijapanga,home to working station ni kama 1.5km kwenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu 1.5Km gari ya nini? Utaifaidi vipi sasa?
 
Back
Top Bottom