Naomba shauri wa kumiliki gari ndogo

Sprinter 5A haina tofauti na Carina 5A, ila Carina inakupa option ya space kubwa kwa ndani hasa siti za abiria tofauti na sprinter wanao sema hizi gari ni za zamani kwetu huku vijijini bado zina tufaa sana tofauti na gari mpya mpya hizi, chukua chuma hiyo pia soko lake halijashuka hata ukiisha kuwa mzoefu ni rahisi kuuza na kuhamia kwenye chuma nyingine ila usichukue iliyochoka sana achana na ushauri wa vijana wa daslam.
 
Ahsante,nimekupata vizuri sana kiongizi ubarikiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uzoefu wako Ili nzima inaweza range kwenye ngapi mkononi mwa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief vuta carina,ist au run x hizo gari nzuri kwa kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…