Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Ok, chukua carina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok, chukua carina
Okey nilimnukuu vibayaLaki 6 ni kipato chake cha mwezi, si bajeti ya kununua gari.
Sijasema gari ya laki 6,kipato changu cha mwezi cha uhakika but 4-6 mls ya kagari IPO mfuko wa shirtSijawahi kuona mtu amenunua gari kwa bajeti ya laki 6 hata kama hiyo gari imechoka kiasi gani
Magari ya kizamani
HiiSijawahi kuona mtu amenunua gari kwa bajeti ya laki 6 hata kama hiyo gari imechoka kiasi gani
Priority Iko Kwa sprinter & carinaNipe6 nikupe passo DRG huu ni yangu 70k km
Haujaelewa. Kipato chake ndicho lak6 kwa mwezi na biashara yake nyingineSijawahi kuona mtu amenunua gari kwa bajeti ya laki 6 hata kama hiyo gari imechoka kiasi gani
Pamoja sanaWe jamaa ndoto zetu zinafanana,mimi mwenyewe gari ya kuanzia maisha nataka iwe saloon na sio hatchback.
Kama vipi Anza na Carina cc1490.
Mkuu usithubutu kununua gari mkononi, utajuta. Jichange ufikishe 12M uagize Mazda Demio, Suzuki swift n.k.Sijasema gari ya laki 6,kipato changu cha mwezi cha uhakika but 4-6 mls ya kagari IPO mfuko wa shirt
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta Vitz RS, Au Terios Kid, Na Huo Umbali 1.5km Full Tank Unatoboa Miaka Miwili Na Miezi Mitatu
Ahsante,nimekupata vizuri sana kiongizi ubarikiwe.Sprinter 5A haina tofauti na Carina 5A, ila Carina inakupa option ya space kubwa kwa ndani hasa siti za abiria tofauti na sprinter wanao sema hizi gari ni za zamani kwetu huku vijijini bado zina tufaa sana tofauti na gari mpya mpya hizi, chukua chuma hiyo pia soko lake halijashuka hata ukiisha kuwa mzoefu ni rahisi kuuza na kuhamia kwenye chuma nyingine ila usichukue iliyochoka sana achana na ushauri wa vijana wa daslam.
Kwa uzoefu wako Ili nzima inaweza range kwenye ngapi mkononi mwa mtuSprinter 5A haina tofauti na Carina 5A, ila Carina inakupa option ya space kubwa kwa ndani hasa siti za abiria tofauti na sprinter wanao sema hizi gari ni za zamani kwetu huku vijijini bado zina tufaa sana tofauti na gari mpya mpya hizi, chukua chuma hiyo pia soko lake halijashuka hata ukiisha kuwa mzoefu ni rahisi kuuza na kuhamia kwenye chuma nyingine ila usichukue iliyochoka sana achana na ushauri wa vijana wa daslam.