SimbaMsanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Dudu Baya amemtaka Shetta kuacha kutumia jina la ‘Mamba’ kwani hiyo ni ‘aka’ yake ambayo amekuwa akiitumia kwa miaka mingi.
Akizungumza na Bongo5 Jumatano hii, Dudu Baya alisema anaomba Shetta aache mara moja kutumia jina hilo ili yasije yakatokea kama ya Mr Nice.
“Shetta ni kama mdogo wangu sitaki ugomvi nae, asinirudishe enzi za Mr Nice,” alisema
“Mbona majina yapo mengi kwanini atumie jina langu (Mamba). Naomba afikishiwe huu ujumbe, nimemtafuta kwenye simu hapatikani,” alisema Dudu Baya.
Dudu Baya amedai ameona mara kadhaa msanii huyo anatumia jina lake bila kuongea nae.
Bado dimond anatumia simba while mwenye jina ni Afande wa moro
Ngoja mamba naye aibuke kutoka majini adai jina lake.....Kiki nyingine za kilofa kweliMsanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Dudu Baya amemtaka Shetta kuacha kutumia jina la ‘Mamba’ kwani hiyo ni ‘aka’ yake ambayo amekuwa akiitumia kwa miaka mingi.
Akizungumza na Bongo5 Jumatano hii, Dudu Baya alisema anaomba Shetta aache mara moja kutumia jina hilo ili yasije yakatokea kama ya Mr Nice.
“Shetta ni kama mdogo wangu sitaki ugomvi nae, asinirudishe enzi za Mr Nice,” alisema
“Mbona majina yapo mengi kwanini atumie jina langu (Mamba). Naomba afikishiwe huu ujumbe, nimemtafuta kwenye simu hapatikani,” alisema Dudu Baya.
Dudu Baya amedai ameona mara kadhaa msanii huyo anatumia jina lake bila kuongea nae.
Huyo dudu ajaribu upuuzi wake aoneShetta chonde chonde yasije yakakukuta yaliyomkuta Mr. Nice,
We still need you.
Wangoni nao wakianza kulalamika msiwashangae.Huyo dudu ajaribu upuuzi wake aone
Huyo dudu ajaribu upuuzi wake aone
Umenikumbusha zitto alipohamia ACT wakatokea Chama wa wakulima kudai jina ni LaoNimekumbuka hii kauli ya Julius Malema kwa Dr.Bonginkosi Emmanuel 'Blade' Nzimande ni baada ya Dr.Bongi kulalamika kwamba chama cha Malema (EFF) kimeiba rangi yao nyekundu kinayoitumia.
Nanukuu:
"Comrade Blade Nzimande is complaining that EFF stole the 'red color'
He doesn't have a copyright on the 'red color' and there's nothing we can steal from him because he has nothing but that skuurpot (pot scourer) face of his.
Why didn't he complain when Vodacom was red?"
Si kwa Tanzania ya leo. Zile enzi Dudu anampiga Nice hali ya kiuchumi na kifikra kwa wasanii zilikuwa za chini kulinganisha na sasa hivi ambapo wasanii wengi wapo juu kiuchumi na kifikra. Dudu endapo atajaribu kumpiga shetta hatabaki salama na huenda akajikuta gerezani mojakwamoja. Afanye kazi zake za kumtafutia riziki kwa amani aache mambo ya kipuuzi maana watu kwa sasa hawana muda na huo ujinga wake.Itakua vita ya Nchi nzima.
Si kwa Tanzania ya leo. Zile enzi Dudu anampiga Nice hali ya kiuchumi na kifikra kwa wasanii zilikuwa za chini kulinganisha na sasa hivi ambapo wasanii wengi wapo juu kiuchumi na kifikra. Dudu endapo atajaribu kumpiga shetta hatabaki salama na huenda akajikuta gerezani mojakwamoja. Afanye kazi zake za kumtafutia riziki kwa amani aache mambo ya kipuuzi maana watu kwa sasa hawana muda na huo ujinga wake.
Hunishindi mmAisee nimecheka. Bongo inavituko vya kila aina.
acha ujinga dudu baya kwani unahati miliki na hilo jina.akili mbovu ndio maana alostoMsanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Dudu Baya amemtaka Shetta kuacha kutumia jina la ‘Mamba’ kwani hiyo ni ‘aka’ yake ambayo amekuwa akiitumia kwa miaka mingi.
Akizungumza na Bongo5 Jumatano hii, Dudu Baya alisema anaomba Shetta aache mara moja kutumia jina hilo ili yasije yakatokea kama ya Mr Nice.
“Shetta ni kama mdogo wangu sitaki ugomvi nae, asinirudishe enzi za Mr Nice,” alisema
“Mbona majina yapo mengi kwanini atumie jina langu (Mamba). Naomba afikishiwe huu ujumbe, nimemtafuta kwenye simu hapatikani,” alisema Dudu Baya.
Dudu Baya amedai ameona mara kadhaa msanii huyo anatumia jina lake bila kuongea nae.
Jela ndo sehemu sahihi kwake kuishi kwa sasa.Hlf huyu nilisikia alimkata sikio mama ake mkubwa eti anamchawia asitoke kimziki.
Sio makosa yake, ni stress za maisha tu.