Naomba Shetta Usinirudishe Enzi za Mr Nice - Dudu Baya

Hii nchi ina vichaa wengi sana nimecheka sana...
 
Teh teh...Yani sometimes unakatuna na vituko mpaka unahisi wale jamaa walioko Milembe ni wazima ila mtaani ndo wamejaa machizi
 
Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Dudu Baya amemtaka Shetta kuacha kutumia jina la ‘Mamba’ kwani hiyo ni ‘aka’ yake ambayo amekuwa akiitumia kwa miaka mingi.

Akizungumza na Bongo5 Jumatano hii, Dudu Baya alisema anaomba Shetta aache mara moja kutumia jina hilo ili yasije yakatokea kama ya Mr Nice.

“Shetta ni kama mdogo wangu sitaki ugomvi nae, asinirudishe enzi za Mr Nice,” alisema

“Mbona majina yapo mengi kwanini atumie jina langu (Mamba). Naomba afikishiwe huu ujumbe, nimemtafuta kwenye simu hapatikani,” alisema Dudu Baya.

Dudu Baya amedai ameona mara kadhaa msanii huyo anatumia jina lake bila kuongea nae.
Simba
Mamba
Wanyama
Ah
Wasanii wa bongo wanaboa na maugomvi ya majina ya wanyama
 
Bado dimond anatumia simba while mwenye jina ni Afande wa moro

Ukiona mtu anang'ang'ania jina kwa mtindo huu ujuwe moja kwa moja hajielewi

Diamond kaitwa na kuliidhinisha jina la simba kwa sababu za mfanano wa tabia (kujiamini, kutokukata tamaa, ushujaa unapotafuta riziki, ufalme) na si jina kama jina. Na hili sio jinla kiofisi ni AKA tu, ambazo msanii anaweza kuwa nazo hata mia huku jina likibaki Diamond Platnumz, the same to Afande Sele. Hii inafanya yeyote kujiita au kuitwa Simba endapo tu anaona anasifa za simba na sio kitu kibaya

Ndio maana Afande Sele akasema sio vibaya kwa Chibu na Blue kutumia jina la Simba kwakuwa kila mmoja ameona ana usimba ndani yake, na akashauri wafanye collable ya pamoja ili kila mmoja aonyeshe ni kivipi ye ni Simba..
 
Dudubaya-013.jpg

bhe bhe Ntuzu. ubhese abha NG'HWANZA, ung'wana ong'o sengi ate ntale alendo, uwang'wa mami huntale, hanumayaho utayombage geke welelwa, ulayombage geke odeba nulu omana
 
Nimecheka eti anampigia simu hapatikani, kwanini kaamua kujiita mamba bila kuongea nae.
 
Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Dudu Baya amemtaka Shetta kuacha kutumia jina la ‘Mamba’ kwani hiyo ni ‘aka’ yake ambayo amekuwa akiitumia kwa miaka mingi.

Akizungumza na Bongo5 Jumatano hii, Dudu Baya alisema anaomba Shetta aache mara moja kutumia jina hilo ili yasije yakatokea kama ya Mr Nice.

“Shetta ni kama mdogo wangu sitaki ugomvi nae, asinirudishe enzi za Mr Nice,” alisema

“Mbona majina yapo mengi kwanini atumie jina langu (Mamba). Naomba afikishiwe huu ujumbe, nimemtafuta kwenye simu hapatikani,” alisema Dudu Baya.

Dudu Baya amedai ameona mara kadhaa msanii huyo anatumia jina lake bila kuongea nae.
Ngoja mamba naye aibuke kutoka majini adai jina lake.....Kiki nyingine za kilofa kweli
 
Huyu Dudu saivi achezee kichapo tu. Ameendekezwa sana.
By the way sasa ni mtu wa kutetemeka tu. Nyagi imemuua.
 
Nimekumbuka hii kauli ya Julius Malema kwa Dr.Bonginkosi Emmanuel 'Blade' Nzimande ni baada ya Dr.Bongi kulalamika kwamba chama cha Malema (EFF) kimeiba rangi yao nyekundu kinayoitumia.

Nanukuu:

"Comrade Blade Nzimande is complaining that EFF stole the 'red color'

He doesn't have a copyright on the 'red color' and there's nothing we can steal from him because he has nothing but that skuurpot (pot scourer) face of his.

Why didn't he complain when Vodacom was red?"
Umenikumbusha zitto alipohamia ACT wakatokea Chama wa wakulima kudai jina ni Lao
 
Itakua vita ya Nchi nzima.
Si kwa Tanzania ya leo. Zile enzi Dudu anampiga Nice hali ya kiuchumi na kifikra kwa wasanii zilikuwa za chini kulinganisha na sasa hivi ambapo wasanii wengi wapo juu kiuchumi na kifikra. Dudu endapo atajaribu kumpiga shetta hatabaki salama na huenda akajikuta gerezani mojakwamoja. Afanye kazi zake za kumtafutia riziki kwa amani aache mambo ya kipuuzi maana watu kwa sasa hawana muda na huo ujinga wake.
 
Hlf huyu nilisikia alimkata sikio mama ake mkubwa eti anamchawia asitoke kimziki.
Sio makosa yake, ni stress za maisha tu.
 
Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Dudu Baya amemtaka Shetta kuacha kutumia jina la ‘Mamba’ kwani hiyo ni ‘aka’ yake ambayo amekuwa akiitumia kwa miaka mingi.

Akizungumza na Bongo5 Jumatano hii, Dudu Baya alisema anaomba Shetta aache mara moja kutumia jina hilo ili yasije yakatokea kama ya Mr Nice.

“Shetta ni kama mdogo wangu sitaki ugomvi nae, asinirudishe enzi za Mr Nice,” alisema

“Mbona majina yapo mengi kwanini atumie jina langu (Mamba). Naomba afikishiwe huu ujumbe, nimemtafuta kwenye simu hapatikani,” alisema Dudu Baya.

Dudu Baya amedai ameona mara kadhaa msanii huyo anatumia jina lake bila kuongea nae.
acha ujinga dudu baya kwani unahati miliki na hilo jina.akili mbovu ndio maana alosto
 
Back
Top Bottom