Naomba siku nikifa nizikwe kino badala ya Bukoba

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
When I die , I wish to be buried at Kinondoni and not Bukoba
Thank you

Why Kinondoni ? Is place where my Best friend And sibling buried Dr Ndibalema Alphonce , This man was the lecture of Udsm so he taught me various issue about Life and how I can deal with this thug life done by our leaders.

Thank you by Mr Justice.
 
Waambie ndugu zako Sasa, unapotuambia humu habari zako za kufa zinatusaidia nini sisi? Ningekuwa sehemu ya ndugu zako ningefosi ukazikwe kwenu maana mjini mnakula bia hamkumbuki kutengeneza kwenu
 
Sasa watuwako wakaribu they must be addressed here, iliujumbe uwafikie na wewe jitambulishe vizuri ilikusaidia taarifa kuwafikia wahusika.

Kibongo bongo watu watasema uchuro lakini kunawatu wamesha jijengea makaburi na funeral facilitations zote ilikuondoa usumbufu.
 
When I die , I wish to be buried at Kinondoni and not Bukoba
Thank you

Why Kinondoni ? Is place where my Best friend And sibling buried Dr Ndibalema Alphonce , This man was the lecture of Udsm so he taught me various issue about Life and how I can deal with this thug life done by our leaders.

Thank you by Mr Justice.
Mkuu, wewe jukumu lako la msingi ni kufa tu. Kuhusu wapi utazikwa, ni wanafamilia wako ndiyo wenye jukumu la kuamua baada ya kufanya kikao cha majadiliano, na huku wewe ukiwa umelala usingizi wa milele.
 
Umeacha gharama na maziko,,, au unafikiri kuzikwa kino ni kama kuzikwa huko kwenu.!??

Yaani usumbue watu ukiwa hai na bado unataka usumbue watu ukifa.!???

Wewe jukumu lako ni kufa tu,, mengine waachie ndugu zako... Otherwise uwe umeandaa gharama kabisa...
 
Aseme kama ana bima ataje na kampuni aliyokatia bima
 
When I die , I wish to be buried at Kinondoni and not Bukoba
Thank you

Why Kinondoni ? Is place where my Best friend And sibling buried Dr Ndibalema Alphonce , This man was the lecture of Udsm so he taught me various issue about Life and how I can deal with this thug life done by our leaders.

Thank you by Mr Justice.
Wahi haraka Manispaa kununua kaeneo kako kwa kuzikiwa, uanze kulipia na kodi ya pango Kabisa, ili ndugu zako wasipate sababu ya kukupeleka Bukoba. Ila Dar kuna joto Sana, litakusumbua ukiwa futi 6 chini, bora Bukoba kuna Baridi.
 
When I die , I wish to be buried at Kinondoni and not Bukoba
Thank you

Why Kinondoni ? Is place where my Best friend And sibling buried Dr Ndibalema Alphonce , This man was the lecture of Udsm so he taught me various issue about Life and how I can deal with this thug life done by our leaders.

Thank you by Mr Justice.

Mkuu pole sana najua unapitia wakati mgumu lakini yatapita!

Nina kuhakikishia utokufa sasa ila cha moto utazidi kukiona ni lazima ukione cha moto ili ujifunze usikimbilie kuomba kifo acha uoga pambana ,chapika,nyingorota ,nyanyuka tena pambana! Hakuna kufa kwa sasa...

Agenda kwa sasa kwenye kichwa chako iwe jinsi ya kutoka hapo kwenye msoto na depression lakini si kuomba kufa...hutokufa lazima uonje joto ya jiwe na utasimama tuuu!

Acha kukimbia matatizo kwa kuomba kufa au kutaka kufa...pole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Khaaa watu wamevurugwa hawataki ujinga ujinga. Ww ukifa pa kuzikwa watachagua wazikaji
 
Majirani wa huyu mtu mchungulie inawezekana anabembea kwenye kamba sasa hivi
 
Back
Top Bottom