DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Huyu katoka kusema Sasa hivi kwamba panya roads ni innocent kids.Upo sawa mkuu?Are you depressed? Taifa bado linakuhitaji
Sasa mtu hataki kuzikwa Kwao anang'ang'ania kinondoni kisa Lecturer aliyekutana naye chuo kwani akizikwa kinondoni ndio Kuna unafuu Kuliko Bukoba?Naona umemtolea uvivu.
Ooh kumbe ndio maana kaanza kuongelea kufa asipo angalia anaweza akajumuishwa na hao innocents kwenda aheraHuyu katoka kusema Sasa hivi kwamba panya roads ni innocent kids.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Unataka waje wakichukue hicho ki TECNO chako?Huyu katoka kusema Sasa hivi kwamba panya roads ni innocent kids.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mkuu, wewe jukumu lako la msingi ni kufa tu. Kuhusu wapi utazikwa, ni wanafamilia wako ndiyo wenye jukumu la kuamua baada ya kufanya kikao cha majadiliano, na huku wewe ukiwa umelala usingizi wa milele.When I die , I wish to be buried at Kinondoni and not Bukoba
Thank you
Why Kinondoni ? Is place where my Best friend And sibling buried Dr Ndibalema Alphonce , This man was the lecture of Udsm so he taught me various issue about Life and how I can deal with this thug life done by our leaders.
Thank you by Mr Justice.
Aseme kama ana bima ataje na kampuni aliyokatia bimaUmeacha gharama na maziko,,, au unafikiri kuzikwa kino ni kama kuzikwa huko kwenu.!??
Yaani usumbue watu ukiwa hai na bado unataka usumbue watu ukifa.!???
Wewe jukumu lako ni kufa tu,, mengine waachie ndugu zako... Otherwise uwe umeandaa gharama kabisa...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unataka waje wakichukue hicho ki TECNO chako?
Wahi haraka Manispaa kununua kaeneo kako kwa kuzikiwa, uanze kulipia na kodi ya pango Kabisa, ili ndugu zako wasipate sababu ya kukupeleka Bukoba. Ila Dar kuna joto Sana, litakusumbua ukiwa futi 6 chini, bora Bukoba kuna Baridi.When I die , I wish to be buried at Kinondoni and not Bukoba
Thank you
Why Kinondoni ? Is place where my Best friend And sibling buried Dr Ndibalema Alphonce , This man was the lecture of Udsm so he taught me various issue about Life and how I can deal with this thug life done by our leaders.
Thank you by Mr Justice.
When I die , I wish to be buried at Kinondoni and not Bukoba