Naomba taarifa za mchekeshaji Vengu wa Orijino Komedi

Naomba taarifa za mchekeshaji Vengu wa Orijino Komedi

AKILI TATU

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2016
Posts
2,659
Reaction score
2,827
Wanajamvi naomba kujua taarifa za msanii Vengu kwani ni kitambo kimepita bila kupata taarifa zake,na je bado anaumwa?vipi ametoka katika kundi a orijino komedi?kwenyeharusi ya masanja alikuwepo?shukrani kwa taarifa

15.jpg
 
Watueleze, sisi kama mashabiki wao tunawapenda kwa pamoja na tunampenda Vengu pia,

Kuendelea kukaa kimya na hali mashabiki tumeulizia hali ya huyu jamaa kwa muda mrefu tunaweza kutafsiri kama MNATUDHARAU!!
 
Masanja ameshaliongelea hili, ni wewe tu haujasikia mkuu!
 
wana tv program wameianzisha azam two,inaenda kwajina la KinaVengu...so bado wako pamoja
LAKINI INGEKUWA POWA ANA KAMA WANGETUELEZA NINI KINAMSUMBUA JAMAA
 
Mnahoji vengu kutoonekana katika harusi ya Masanja vipi kuhusu mwarabu wa dubai mlimuona
 
Back
Top Bottom