Naomba taarifa za mchekeshaji Vengu wa Orijino Komedi

Naomba taarifa za mchekeshaji Vengu wa Orijino Komedi

Kinachoonekana hya jamaa hawapendani maana wamekaaa kimywa kibisa
 
Huyu jamaa tangu 2011 nasikia anaumwa. Sijui ni nini
 
Ofcourse atakuwa anaumwa maana akifa tutasikia,msemaji wa kikundi atusaidie kutuambie anaumwa na nn maana inatia huruma.
 
Yule jamaa bado anaumwa...lakini hadi leo ugonjwa unaomsumbua haswa haujafahamika
Yupo chini ya uangalizi wa kitabibu hadi leo hii
 
mara ya mwisho nilisoma gazeti la ubuyu linasema jamaa ana tatizo kwenye sehemu ya ubongo. kitu ka uvimbe hivi
 
Dua zetu zinaitajika kwa huyu kijana ili Mungu muweza aweze kumponya kwa haraka
 
INAELEKEA YUPO KATIKA HALI TATA NDIO MAANA INAKUWA SIRI
 
your current avatar umejipinda kuchagua...mmmm
1477972843686.jpg
lazima anatesa hisia za wengi aisee.
 
Haya ndiyo maoni ya kila mtu, ila ukweli kuhusu huyo jamaa upo kwake yeye mwenyewe na familia yake.
 
Back
Top Bottom