muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Bado yu mgonjwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini sisi ni mashabiki zake mkuu,unadhani hatuna haki ya kujua ikizingatiwa yule ni mtu maarufu?ug
ugonjwa ni siri kati ya tabibu na mgonjwa mwenyewe
Huna haki ya kujua ...lakini sisi ni mashabiki zake mkuu,unadhani hatuna haki ya kujua ikizingatiwa yule ni mtu maarufu?
Wabongo huwa hawaheshimu faragha kabisa eti wanangangania kuujua ugonjwa wakeugonjwa ni siri kati ya tabibu na mgonjwa mwenyewe