AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
YANI ni nashindwa kuelewa kwa nini wanafanya hiviUkimya wa wenzake nao unatia shaka.
Masanja ameshaliongelea hili, ni wewe tu haujasikia mkuu!Watueleze, sisi kama mashabiki wao tunawapenda kwa pamoja na tunampenda Vengu pia,
Kuendelea kukaa kimya na hali mashabiki tumeulizia hali ya huyu jamaa kwa muda mrefu tunaweza kutafsiri kama MNATUDHARAU!!
Ningefurahi ungeliniambia kaliongeleaje kiongozi!!Masanja ameshaliongelea hili, ni wewe tu haujasikia mkuu!
Mara ya mwisho akiwa anafanya mahojiano ndani ya Sporah Show, alipoulizwa kuhusu hilo alisema Vengu anaendelea vizuri yuko nyumban katika hatua za mwisho kuiimarisha afya yake bado wako pamoja na yeye!Ningefurahi ungeliniambia kaliongeleaje kiongozi!!
LAKINI INGEKUWA POWA ANA KAMA WANGETUELEZA NINI KINAMSUMBUA JAMAAwana tv program wameianzisha azam two,inaenda kwajina la KinaVengu...so bado wako pamoja
NI SWALI TATA SANAKweli asee hivi yuko wapi huyu mtu!!
Umemuelewa mtoto a mada kweli..?? Au umeweka hisia zako..??Mnahoji vengu kutoonekana katika harusi ya Masanja vipi kuhusu mwarabu wa dubai mlimuona
mpoki labda alikuwa na mishen nyingine huwezi jua,liakini kukosekana kwa vengu na mustakbali wa afya yake ni jambo tata sanaKweli sikuona uwepo wa mpoki
ugonjwa ni siri kati ya tabibu na mgonjwa mwenyeweLAKINI INGEKUWA POWA ANA KAMA WANGETUELEZA NINI KINAMSUMBUA JAMAA