jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
nini kifanyike ili kuzitunza hizo nguvu au kuzizidisha maana hilo la maadui sikupingi,nayopitia nayajua mwenyewe maana mpka kuna jambo linakukuta mpka ukchomoka unajiuliza hiv nmechomokaje chomokaje hapaUna maadui pande nyingi lakini una nguvu kuwazidi.. Siku nguvu zikikupungua hutaweza tena kupaa
DadekiTafsiri yake.
Mbuyu ni mashine. Uko juu ya mbuyu maana yake umekalia mashine.
Wachawi waoakuzunguka kwenye mbuyu hayo ni mavuzi ya mashine.
Kwa hiyo tafsiri ya ndoto yako ni kwamba either utapigwa mashine hivi karibuni ama siku hiyo ulipigwa mashine ya kueleweka kabla hujalala.
Tumia tiba ya chumvi zitakatanini kifanyike ili kuzitunza hizo nguvu au kuzizidisha maana hilo la maadui sikupingi,nayopitia nayajua mwenyewe maana mpka kuna jambo linakukuta mpka ukchomoka unajiuliza hiv nmechomokaje chomokaje hapa
Kila fala ana bosi wake. Ila wewe ni boss wa maboss woteSiku nyingine ukiota ndoto unaona haieleweki halafu ndefu namna hii jitikise hadi uamke☹
🤣🤣🤣🤣Kila fala ana bosi wake. Ila wewe ni boss wa maboss wote
🌹🤣🤣🤣🤣
The NeedNdoto ndefu sana ...hiii...itakua ni ISIDINGO
Mshana Jr Ivi ukiota kuna mchawi anaingia kutokea juu ya paa la Nyumba yako anaingia ndani kavaa kaniki nyeusi na yupo juu ya ufagio Wa chelewa anataka kukushika mwili wako unajisogeza mbelee mwishowe alipigwa na nguvu ya ajabu.The Need
Unafukuzwa na mbogaHivi mkuu mshana Jr ikitokea umeota unafukzwa na ngo',mbe au watu halafu ukapaa juu maana yake nini?
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mkuu mshana Jr, naomba kuuliza hivi ikitokea nimeota kama naanguka kwenye shimo refuuu najaribu kujizui nisianguke nashindwa nakua kama nadondokea shimo refuuu mwishowe nashtuka kutoka usingizini natoka na jasho kabisa HII Tafsiri yake ni nini na nifanyeje isinitokee tena kwasababu ni ndoto ninayoiota kwa zaidi ya miaka 15 hivi haijawahi potea zaidi ya kujirudiaTumia tiba ya chumvi zitakata