Naomba tafsiri ndoto hii: Niko juu ya mbuyu na wachawi. Je, Kissendi anataka niwe mchawi?

Naomba tafsiri ndoto hii: Niko juu ya mbuyu na wachawi. Je, Kissendi anataka niwe mchawi?

Una maadui pande nyingi lakini una nguvu kuwazidi.. Siku nguvu zikikupungua hutaweza tena kupaa
nini kifanyike ili kuzitunza hizo nguvu au kuzizidisha maana hilo la maadui sikupingi,nayopitia nayajua mwenyewe maana mpka kuna jambo linakukuta mpka ukchomoka unajiuliza hiv nmechomokaje chomokaje hapa
 
Tafsiri yake.

Mbuyu ni mashine. Uko juu ya mbuyu maana yake umekalia mashine.

Wachawi waoakuzunguka kwenye mbuyu hayo ni mavuzi ya mashine.

Kwa hiyo tafsiri ya ndoto yako ni kwamba either utapigwa mashine hivi karibuni ama siku hiyo ulipigwa mashine ya kueleweka kabla hujalala.
Dadeki
 
nini kifanyike ili kuzitunza hizo nguvu au kuzizidisha maana hilo la maadui sikupingi,nayopitia nayajua mwenyewe maana mpka kuna jambo linakukuta mpka ukchomoka unajiuliza hiv nmechomokaje chomokaje hapa
Tumia tiba ya chumvi zitakata
 
Mshana Jr Ivi ukiota kuna mchawi anaingia kutokea juu ya paa la Nyumba yako anaingia ndani kavaa kaniki nyeusi na yupo juu ya ufagio Wa chelewa anataka kukushika mwili wako unajisogeza mbelee mwishowe alipigwa na nguvu ya ajabu.

NB: Nilipokuwa naota ndoto hii Wife aliniambia kitanda kilikuwa kinatetema vibaya mno Kama tetemeko la ardhi na sura ya huyo mchawi niliijua ni jirani yangu mtaa mmoja.
 
Tumia tiba ya chumvi zitakata
Mkuu mshana Jr, naomba kuuliza hivi ikitokea nimeota kama naanguka kwenye shimo refuuu najaribu kujizui nisianguke nashindwa nakua kama nadondokea shimo refuuu mwishowe nashtuka kutoka usingizini natoka na jasho kabisa HII Tafsiri yake ni nini na nifanyeje isinitokee tena kwasababu ni ndoto ninayoiota kwa zaidi ya miaka 15 hivi haijawahi potea zaidi ya kujirudia
 
Back
Top Bottom