jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
nini kifanyike ili kuzitunza hizo nguvu au kuzizidisha maana hilo la maadui sikupingi,nayopitia nayajua mwenyewe maana mpka kuna jambo linakukuta mpka ukchomoka unajiuliza hiv nmechomokaje chomokaje hapaUna maadui pande nyingi lakini una nguvu kuwazidi.. Siku nguvu zikikupungua hutaweza tena kupaa