Ninavyojua mimi ni kwamba ndoto yoyote inayihusu kuibiwa kitu au Mali yako, ni ishara kwamba umeibiwa nyota yako au kibali chako ambacho umepewa na Mungu kufanikiwa hapa duniani. Hivyo basi kama wewe ni Mkristo mwenye kamini juu ya kuweza wa jina na Damu ya Yesu, omba kuvikomboa kibali chako. Maana kwa damu ya Yesu, tumekombolewa na laana, nguvu za giza n. K. Kama unaweza waweza funga n a kuomba kwa siku utazojisikia rohoni kama sadaka mbele za Mungu.Habari za asubuhi, naomba mnisaidie waungana kama kutakuwa na mtu ana uelewa na ndoto.
Ni mara kadhaa sasa nimekuwa nikiota nimeibiwa hereni zangu, nahitaji kujua maana ya hii ndoto.
Inasemwa kwamba kila ndoto mtu anayoota inakuwa na maana, naomba msaada katika hili
Asanteni.
AsanteNinavyojua mimi ni kwamba ndoto yoyote inayihusu kuibiwa kitu au Mali yako, ni ishara kwamba umeibiwa nyota yako au kibali chako ambacho umepewa na Mungu kufanikiwa hapa duniani. Hivyo basi kama wewe ni Mkristo mwenye kamini juu ya kuweza wa jina na Damu ya Yesu, omba kuvikomboa kibali chako. Maana kwa damu ya Yesu, tumekombolewa na laana, nguvu za giza n. K. Kama unaweza waweza funga n a kuomba kwa siku utazojisikia rohoni kama sadaka mbele za Mungu.
napenda sana kula ukiniambia nifunge unakuwa unanionea kwa kweliNinavyojua mimi ni kwamba ndoto yoyote inayihusu kuibiwa kitu au Mali yako, ni ishara kwamba umeibiwa nyota yako au kibali chako ambacho umepewa na Mungu kufanikiwa hapa duniani. Hivyo basi kama wewe ni Mkristo mwenye kamini juu ya kuweza wa jina na Damu ya Yesu, omba kuvikomboa kibali chako. Maana kwa damu ya Yesu, tumekombolewa na laana, nguvu za giza n. K. Kama unaweza waweza funga n a kuomba kwa siku utazojisikia rohoni kama sadaka mbele za Mungu.