Naomba tips za awali za kuitwa siku ya kwanza kwenye usaili

Naomba tips za awali za kuitwa siku ya kwanza kwenye usaili

Joined
Sep 3, 2021
Posts
12
Reaction score
5
Wadau naombeni msaada wa mawazo ikiwa ndo siku ya kwanza kuitwa Kwenye interview...based on your career!! Viashiria gani positive inabidi uwe navyo na vipi inabidi uzue
 
Jiamini...yaani kama una aibu siki iyo ziondoe kabsaa hakksha hukwepeshi macho kwa interviewee wako nyngne ngoja waje wataalam
 
Back
Top Bottom