Engineer mussa ngelime Member Joined Sep 3, 2021 Posts 12 Reaction score 5 Sep 9, 2021 #1 Wadau naombeni msaada wa mawazo ikiwa ndo siku ya kwanza kuitwa Kwenye interview...based on your career!! Viashiria gani positive inabidi uwe navyo na vipi inabidi uzue
Wadau naombeni msaada wa mawazo ikiwa ndo siku ya kwanza kuitwa Kwenye interview...based on your career!! Viashiria gani positive inabidi uwe navyo na vipi inabidi uzue
M Mwalimu wa Zamu Tz JF-Expert Member Joined Jan 2, 2021 Posts 1,053 Reaction score 2,757 Sep 9, 2021 #2 Jiamini...yaani kama una aibu siki iyo ziondoe kabsaa hakksha hukwepeshi macho kwa interviewee wako nyngne ngoja waje wataalam
Jiamini...yaani kama una aibu siki iyo ziondoe kabsaa hakksha hukwepeshi macho kwa interviewee wako nyngne ngoja waje wataalam