Hzo ni lugha tu za kijinga kwa wanaojipendekeza kwa rais. Wanataka kufanya watu waamini kwamba rais ndiye anatoa hela. Hzi kauli tulikuwa hatuzisikii kuanzia SERIKALI ya awamu ya nne na kurudi nyuma. Tulikuwa tunanaambiwa serikali imetoa fedha kwa ajili ya kufanya a,b,c... siyo rais fulani ametoa fedha kwa ajili ya a,b,c... UKUPE NI KAZI SANA