Naomba tu Kuuliza je, Mjanja anakubali kupokea Milioni 200 kwa Mwaka ili aweze kuipata Bilioni 1 baada ya Miaka Mitano?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Siku zote Thamani ya Mjanja anayejitambua kama Rafiki yangu Bila bila haiwezi kuwa ya kupewa Shilingi Milioni 200 kwa mwaka wakati Mjanja mwingine anayejitambua kama GENTAMYCINE Yeye anajijua kabisa kuwa Thamani yake kwa sasa na kwa jinsi alivyo hapa Barani Afrika ni kuanzia Bilioni 3 kwa Mwaka.
 
kuna timu ligi kuu inawalipa wachezaji wake laki nane kila mwezi kwahyo hyo milioni 200 kwa mwaka ni bajeti ya mshahara wa wachezaji kwa mwaka kwa baadhi ya timu za ligi kuu yetu.
 
Hiyo timu ndio iliyoingia huo mkataba? Basi hongera kwake
 
kuna timu ligi kuu inawalipa wachezaji wake laki nane kila mwezi kwahyo hyo milioni 200 kwa mwaka ni bajeti ya mshahara wa wachezaji kwa mwaka kwa baadhi ya timu za ligi kuu yetu.
Magoma FC bhana.....!!
 
Ni jambo lililotegemewa, hata Magoma aliliongelea. Mkurugenzi wa uwekezaji wa kampuni ya mdhamini wa klabu ndiye rais wa klabu inayodhaminiwa. Kwa lugha nyepesi, ana maamuzi kote kote, kwa hiyo anaweza akaidhinisha biashara kati ya taasisi hizo mbili kwa bei anayotaka, kutegemea anataka ampe favour nani
 
Hapo Kun awatu wamekula mpunga, Yanga ya sasa sio ya kufanya dili la milioni 200 kwa mwaka, hela ambayo ni kama mshahara wa mchezaji mmoja wa miezi mitano tu, imagine!!!

Alafu unasign miaka mitano, hata brand yako ipande vipi pesa ndo Hio Hio, poor decision!!!
 
Tangu mpigwe 👋 akili zisha waruka
 
Hapo Kun awatu wamekula mpunga, Yanga ya sasa sio ya kufanya dili la milioni 200 kwa mwaka, hela ambayo ni kama mshahara wa mchezaji mmoja wa miezi mitano tu, imagine!!!

Alafu unasign miaka mitano, hata brand yako ipande vipi pesa ndo Hio Hio, poor decision!!!
Msiwe mnaongea vitu bila kujua vitu udhamini una package alf kama unahisi wamepigwa peleka wewe mdhamini mwenye dau kubwa
 
Yanga haitegemei pesa ya huyo mdhamini kujiendesha. Yote ni changa la macho tu. Unadhani Aziz Ki analipwa kutokea fungu moja na Denis Nkane?
 
Siku zote Thamani ya Mjanja anayejitambua kama Rafiki yangu Bila bila haiwezi kuwa ya kupewa Shilingi Milioni 200 kwa mwaka wakati Mjanja mwingine anayejitambua kama GENTAMYCINE Yeye anajijua kabisa kuwa Thamani yake kwa sasa na kwa jinsi alivyo hapa Barani Afrika ni kuanzia Bilioni 3 kwa Mwaka.
Yanga aisee aibuu
 
Hata bk 20 kwa siku atapokea tu
 
Back
Top Bottom