Naomba tufahamishe njia mnazotumia kutuma mizigo kutoka China kuja hapa Tanzania

Naomba tufahamishe njia mnazotumia kutuma mizigo kutoka China kuja hapa Tanzania

Hashimu lwenje

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2017
Posts
415
Reaction score
361
Habari za leo wakuu,

Naomba leo tujadiri mambo ya msingi sana, mambo ya biashara.

Ni njia zipi mnazotumia kutuma mizigo ya biashara kutoka China kuja hapa Tanzania.

Mfano mzigo wa nguo, simu au mzigo mwingine wowote wa baishara mnatumia njia zipi kutuma.

Njia ambazo ni haraka, za bei rahisi, na hazina riski ya usalama wa mzigo.

Karibuni ndugu zangu
 
Unique air cargo.

Nunua mzigo wako kisha mpe anuani muuzaji wako ya hawa jamaa. Jamaa watapokea mzigo na kukuletea hapa kwetu
 
Sillent Ocean au Mukha Cargo.
Hawa wanatumia meli bila shaka mkuu hivyo mzigo hukaa muda mrefu sana majini sio ? na je wana mini.um order ambayo wameweka let say pc 100 au hata pc 2 wanasafirisha?
 
Wajaribu na hawa

FB_IMG_1615118454001.jpg


FB_IMG_1615118459454.jpg


FB_IMG_1615118415278.jpg


FB_IMG_1615118439003.jpg


FB_IMG_1615118335192.jpg


FB_IMG_1615118397257.jpg
 
Back
Top Bottom