Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,716
- 4,375
Nawasalimu wakulungwa.
Naomba tujifunze kwa pamoja kwa wenzetu wa Zanzibar ongezeko la Mshahara lipoje maana wakati wa May Mosi, Rais Mwinyi aliahidi kuongeza asilimia 17.
Sasa naomba tujifunze, je nyongeza ipo na kama ipo imekaaje? Maana huku Tanganyika Chief Hangaya kafanya yake.