William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Nimeshauri tupinge manyanyaso bila kuhimiza usingle mama. Soma posti upyaKwa hiyo unataka awaambie wavumilie manyanyaso ili kifo kiwakute wakiwa ndani ya ndoa?
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Tuambie wewe njia za kuzuia manyanyaso.....unasema ahubiri upendo wewe hujui kuwa unatakiwa kumpenda mkeo? Mlipokuwa mnafunga ndoa wimbo mkuu kwenye siku hiyo ulikuwa ni upendo mchungaji, waimbaji, wazazi marafiki na wote waliohushuria harusi yako walikuwa wanaimba neno upendo...kama yote yale hayakukuingia ndio yatakuingia leo ukiambiwa na Joyce Kiria?Nimeshauri tupinge manyanyaso bila kuhimiza usingle mama. Soma posti upya
Kibiblia hakuna Cha kututenganisha. Kila tukio la kutoelewana na ugonvi Lina sababu zake. Na mwisho wa kuamua kuachana na ndoa abaki kuwa mwanandoa mwenyewe bila kushauriwa na mtu. Nachopinga anapostiwa kisa tu, hazungumzi na aliyempostia kiundani, hamtafuti mlalamikiwa anakuja na swala la kuachana.Tuambie wewe njia za kuzuia manyanyaso.....unasema ahubiri upendo wewe hujui kuwa unatakiwa kumpenda mkeo? Mlipokuwa mnafunga ndoa wimbo mkuu kwenye siku hiyo ulikuwa ni upendo mchungaji, waimbaji, wazazi marafiki na wote waliohushuria harusi yako walikuwa wanaimba neno upendo...kama yote yale hayakukuingia ndio yatakuingia leo ukiambiwa na Joyce Kiria?
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Mkuu thamani ya ndoa anaijua mwanandoa mwenyewe na uchungu wa ndoa anaujua mwenyewe.... Sidhani kama kuna mwanandoa anaweza kuvunja ndoa kisa Joyce Kiria kasema, ni kwamba hata yeye anakuwa amefika mwisho wa uvumilivu.Kibiblia hakuna Cha kututenganisha. Kila tukio la kutoelewana na ugonvi Lina sababu zake. Na mwisho wa kuamua kuachana na ndoa abaki kuwa mwanandoa mwenyewe bila kushauriwa na mtu...
Swala la kupiga halikubaliki. Sheria zipo lakini post zake kwanini zijikite kwenye kuachana!? Hakuna hatua mbadala. Wanaoachana waachane kwa Amani ilausitokee kwa ushawishi wa mtuMmmm tuache mtu upgwe hadi ushonwe uso bado umekaa nae tu mlizaliwa wote au
We jomba nimekuelewa Sana..na kwa kweli Sasa amepotea njia..nadhani ameachika na ndoa yake lakini asidhani kila ndoa itakuwa Kama yake, lakini umempa mifano asilimia 40 ya wanaume wananyanyasika na ndoa zao..lakini wapo kimya wanatafuta njia mbadala was kutafuta ufumbuzi lakini bila kutaka kuvunja ndoa..superb..nimeipenda hii.Nasoma posti zake kupitia wanawake live fb. Anaposti kila uchwao story za wanawake wanasemekana kuteswa ktk ndoa zao na kuamua kuachika kabisa. Pamoja na kubainisha malengo yake NI kupigania haki za wanawake, kuwainua kiuchumi nakuwatetea Ila anachofanya Sasa kinaonekana wazi NI kujenga uadui Kati ya wanawake na waume zao...