Sifa za mwanamke aliyeachika
1.Hawana furaha ndani ya maisha yao, uchungu walio nao wanaumalizia kwa kuwashawishi wengine wawe kama wao.na hata wakiolewa tena huwa hawadumu kwenye mahusiano yao mapya.
2.Wana ushawishi mkubwa, naam hawa ndio wasemaji wakubwa wa ndoa za wengine kwenye taifa. Wafuasi wao wakubwa ni wenzao walio achika, singo mother, na walio kata tamaa ya kuolewa.Matokeo ya mafunzo yao,yanamkumba mtu moja moja kwa wakati wake kwa kukumbatia ufuasi wa jinga jinga.
3.Hutumia muda mwingi kupambana na adui wasio mjua!, adui wa mwanmke si mwanaume. bali "MALEZI NA MAKUZI YA MTU". kuna wanaume hawajui kupiga mke, lakini wake hao wanatumika "mbele na nyuma".
hizi ni harakati za biashara:
Unajua kuna biashara kubwa sana nyuma ya "kutetea haki za wanawake"
wanawake wajinga na pum.bavu ni mtaji mkubwa sana wa kibiashara wa hawa mawakala wa shetani.
Kwanini wakala wa shetani? hakuna mpaka sasa mtu moja moja au taasisi yenye kutetea maisha ya maadili, nidhamu,kujitunza na uaminifu kwa mwanamke.Mfano hai,kuna wanawake wanapiga picha za uchi, wakijiweka vidole, wanainama huku wakikata viuno, na kusabaza video na picha hizo kwa umma mawakala hawa wako kimyaa!
wanakemea vipigo kwa mwanamke kwa hisia, kwa njia ya kufikilika zaidi, Hakuna kipigo bila sababu, na kama mwanamke anapigwa bila sbb tatizo si mwanaume tatizo ni mwanamke!kwa nini unaishi na mtu kichaa? Kuna wanawake wanapigwa hata kwenye mahusiano ya boyfriend na Girlfriend, hawa nao unawaweka kundi gani?
Mwisho si kila mwanamke lazima aolewe/awe na ndoa, na wanawake wa huko kwao mpaka sasa wanaongoza kwa kuachika zaidi kuliko sehemu yoyote ile. Ndio wanaongoza kuolewa na kuachika vilevile, sababu kuu ni malezi yanawaowafanya kuwa na tabia za kiume zaidi na sio zile za jinsia yao. Hivyo sio jmbo la kushangaza kwao