Naomba tumsaidie Joyce Kiria wa wanawake live. Anabomoa msingi wa taifa Bora

Naomba tumsaidie Joyce Kiria wa wanawake live. Anabomoa msingi wa taifa Bora

Huyu Dada sio mwanasaikolojia, anacho fanya nikushawishi watu waone kama ndoa ni mzigo na hivo ukikwazwa kidg tu uondoke,la hasha haiko hivo, yeye katoka kwenye ndoa kwa sababu zake binafis so anatka wote watoke kam yy NO,kama umefunga ndoa ya KIKistru hyo yako mpakam mauti! kwanza beki 3 wapi na wapina kutoa ushauri wa maisha ya ndoa bana? yy atupe experience zake tu
 
Kwa hiyo mtu kama amekukosea suluhisho ni kumbonda sio?
Ingekuwa hivyo hata wewe usingekaa na mumeo hadi leo mana kukosekana ndani ya ndoa ni sehemu ya maisha kama binadamu timilifu.

Achilia mbali kupondana tu hata ukiona umekalipiwa basi ujue umemkosea mwenzako na ikibidi muda mwingine ndo kipigo kinahusika.

Narudia tena hakuna mwanamume mtimilifu anapiga mkewe bila sababu.
 
Ingekuwa hivyo hata wewe usingekaa na mumeo hadi leo mana kukosekana ndani ya ndoa ni sehemu ya maisha kama binadamu timilifu.
Achilia mbali kupondana tu hata ukiona umekalipiwa basi ujue umemkosea mwenzako na ikibidi muda mwingine ndo kipigo kinahusika.

Narudia tena hakuna mwanamume mtimilifu anapiga mkewe bila sababu.

Mnhh kwa hio km kuna sababu?! Inahalalisha kipigo? Hakuna means nyingine za kutatua tatizo?...au na wewe mkuu ulikua abused?.. unasema mume kumpiga mkewe ni lazima kuwe na sababu... naomba nikuulize kuna mwanamke anafanya kitu akiwa na INTENT ya kumuudhi mumewe ili apate kipigo? Kama unakubali mwanamke ni bahati mbaya anakosea, then unaona ni haki kupigwa??? ..... Abuser will be abuser unasema lazima kuwe na sababu ndio mwanamke anapigwa, unaongeleaji wale wanaopiga wake zao repeatedly?? Yaani huyu mwanamke ni kweli ni kwamba anakosea kila siku, hivyo ana stahiki vipigo kila siku???.... tena ukute anajua mume wangu ni mpigaji, bado utafanya makusudi upigwe? Kubali kukosea ni nature yetu binadamu... na ni hatustahili vipigo!!...sijui historia yako mkuu...ila samehe aliyekuumiza ukaona physical abuse is part of the norm, just forgive him and in that way uta MOVE ON
 
Ingekuwa hivyo hata wewe usingekaa na mumeo hadi leo mana kukosekana ndani ya ndoa ni sehemu ya maisha kama binadamu timilifu.
Achilia mbali kupondana tu hata ukiona umekalipiwa basi ujue umemkosea mwenzako na ikibidi muda mwingine ndo kipigo kinahusika.

Narudia tena hakuna mwanamume mtimilifu anapiga mkewe bila sababu.
Kuna mahali nimesema hawakosei? Wanawake wanakosea hata wanaume wanakosea pia ..ninyi mkikosea mnafanywa nini? Narudia tena mwanaume mwenye upendo kwa mkewe option ya kupiga huwa ni ya mwisho kabisa, na sina hakika kama vipigo ndio vinarekebisha matatizo ndani ya ndoa
 
Tuambie wewe njia za kuzuia manyanyaso.....unasema ahubiri upendo wewe hujui kuwa unatakiwa kumpenda mkeo? Mlipokuwa mnafunga ndoa wimbo mkuu kwenye siku hiyo ulikuwa ni upendo mchungaji, waimbaji, wazazi marafiki na wote waliohushuria harusi yako walikuwa wanaimba neno upendo...kama yote yale hayakukuingia ndio yatakuingia leo ukiambiwa na Joyce Kiria?

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Hahahahah, mwambie bhana....
 
Tatizo lake yuko biased! Kwani wanaume pia hawanyanyasiki au sababu tumekaa kimya?
Hivyo vipigo ni shauri la kuchoka kuvumilia kero zao.
Ukiona mtu anakunyanyasa au kero zimezidi ni bora kuachana nae tuu kuliko kujipa murder case, nigeria kuna mama alipigwa na mume wake,huyo mama akaenda kukodi watu wakamshushia mumewe kipigo ,baada ya wiki Mbili yule baba alizidiwa akapelekwa hosp akafariki kumbe alipata majeraha ya ndani .
 
Huyu dada anamatatizo, kumbuka katika historia yake anasema alishawahi kuwa beki tatu, alishabakwa na pia ni mhanga wa kuachwa na wanaume katika mahusiano sababu ya matamaa yake ya ajabu......


Joyce kiria anahitaji kupata counseling atoke kwenye depression aliyopo abadilike maana ni kama kichaa.

Pili kama anataka kuwasaidia akina mama kutokana na manyanyaso aaache kufanya hili swala kuwa issue personal bali ni changamoto ya kijamii. Awashirikishe ustawi wa jamii na dawati la jinsia la polisi na awasaidie wanawake ambao wana mienendo ya tofauti wajue umuhimu wa ndoa na mahusiano sahihi.

Hizi porojo za kutaka kuonekana superwoman ni ujanja ujanja wa kutafuta umaarufu usio na faida mbeleni.... Kwake na kwa jamii yetu.

Asante.
 
Nasoma posti zake kupitia wanawake live fb. Anaposti kila uchwao story za wanawake wanasemekana kuteswa katika ndoa zao na kuamua kuachika kabisa. Pamoja na kubainisha malengo yake ni kupigania haki za wanawake, kuwainua kiuchumi nakuwatetea Ila anachofanya Sasa kinaonekana wazi NI kujenga uadui Kati ya wanawake na waume zao.

Najua aliyopitia na huenda hayuko sawa kisaikolojia kuhusu ndoa. Akiwa na ushawishi wake anaenda kubomoa taifa. Mi namshauri Leo Tena humu Jf.

Sawa sikatai pigania haki za akinadada wasinyanyasike. Lakini kwanini mwisho wa siku uhitimishe na kuachana?!! Huwezi pinga ukatili bila kuhimiza kuvunja ndoa za watu? Kila ndoa inachangamoto zake na inasemekana kiutafiti Hadi 40% ya wanaume hunyanyaswa kwenye ndoa zao na wanawake Ila hawasemi, huona aibu.

Unachokifanya ni utume wa shetani. Taifa ovu hutokana na familia mbovu au ukosefu wa familià. Dadaangu omba Mungu akujalie upendo. Himiza upendo katika familia ili kupinga ukatili. Toa mifano ya familia Takatifu zinavyoishi kwa upendo na walivyoweza kuepuka manyanyaso na wanavyotafua changamoto zao. Mungu alimpa Mariam Mama yake Yesu mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu. Lkn baada ya hapo akampa Mume wa kumsaidia kulea Mimba na mtoto. Kama mimba iliwezekana patikana bila Mume lkn Malezi bora bila familia Mungu hakuruhusu itokee kabisa. Yeyote apingae ndoa NI nabii wa shetani.

Tuko pamoja kupinga ukatili wa wanawake kwa njia Yoyote Ile lakini sio kuhimiza kuvunja ndoa za watu.

Joyce ni mwanaharakati huru na anachotaka jamii ijue ni unyanyaswaji na mauaji ya wanawake walio ndani ya ndoa, na watoto pia. Wapo pia wanaume yanaowakuta ila kwa kiasi kidogo sana ikilinganishwa na wanawake na watoto

Joyce hajapinga ndoa ila anapinga ukatili ndani ya ndoa

Tunaweza kumsaidia Joyce kiria kwa kuacha kufanya vitendo vya kikatili au kuisaidia jamii kuacha hayo mambo. Kwa kuishi maisha yatakayowafundisha watoto wetu thamani ya wenza wao pamoja na watoto katika ndoa, na umuhimu wa kumaliza tofauti kwa njia ya amani

Kama umefuatilia matukio mengi anayoreport Joyce yanakuwaga yale yasiyorekebishika kama ulemavu wa kudumu na vifo lakini ukirudi kufuatilia mwenendo wa wanandoa hao unakuta hali ilikua mbaya zamaaan ila walikua wakidumisha dhana ya uvumilivu tuu hadi mauti
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] madam umeniongezea siku za kuishi! Ati wanaume tufanyeje?

Everyday is Saturday................................😎
Wanaume muanzishe wanaume live
 
Mnaweza shindana na mtu kumbe katumwa kuharibu. Kama kashindana na mwenzake na bado anahamasisha wenzake basi ana matatizo makubwa! Kama wazazi wake wako pamoja basi hawanabudi kumkanya kwamba siyo sifa kuongelea mambo ya watu atafute kiki nyingine ya kuishi. Watu wamemchoka, sana2 wasimbe kama yeye ndiyo wanaomshabikia, dunia ya watu 7b sasa matatizo ya ndoa yatakosekana? Kabla ya kuwepo yeye alikuwepo na atakufa atayaacha. So anatafuta riziki haramu naamini katika maisha ya watu hawezi ongeza/kupunguza chochote.
 
Amewajibu Aise [emoji1][emoji23][emoji1]
20201026_193434.jpg
 
Tatizo Mamlaka zinazo toa na kuratibu huduma za familia hapa nchini zimelala. Kutoa Ushauri masuala ya Familia Ni Professional, tena nyeti, sio kila mTu anaweza akaamka tu kesho akaanza kufundishaa masuala ya Jamii. Ni Upotoshsji Mkubwa ,Ilitakiwa Vipindi vinavyohusu masuala ya Familia yawe yanaririwa na Waendeshaji wake wawe na Taaluma hiyo!
@KAMISHNAwa Ustawi wa Jamii!🥺
Hapo aliona fulsa na siyo kutatua tatizo.

Ila kwa jinsi ninavyoona hawa wafanyabishara wa fulsa kama huyu ameshindwa kutoa mifano ya familia zilizofanikiwa na zinazoishi kwa upendo na ziliwezaje kuepuka manyanyaso na wanavyotafua changamoto zao.
 
Msituchoshe...

Kungekua hakuna uhitaji,Joyce Kiria na programmes zake..zingekufa naturally....

Yupo kwa sababu kuna uhitaji...

Isingekuwa wake zenu wanahitaji kutoa frustrations zao,then Joyce asingekuwepo

Simple!

Joyce mimi nakuomba ufungue office ya counselling, ..najua perherps huna ujuzi lakini unaweza kuajiri counsellors iwasaidie wanawake kisaikolojia warudi kwenye mstari...pia inawezekana kuanzisha number ya simu ambayo inaweza kutoa msaada anonymously...utashangaa wangapi wanahitaji msaada
Kama msisitizo wake ni kutenganisha watu basi kaishashindwa vibaya mno....Watu wanazidi kufunga ndoa kila kuchwao..na hizo ndoa hazivinjiki kiivyo....Embu hata wewe kwenye jamii inayokuzunguka angalia idadi ya watu wenye ndoa na wanaendelea kupambana na ndoa zao kwa gharama yoyote..na wale ambao wamekimbia ndoa....

Changamoto zipo tu..hata huo usingle mother una matatizo chungu nzima...Kuishi watu wawili ambao mnaakili na tabia tofauti si kazi ndogo et....
 
Tunatakiwa kurudi nyuma kidogo kwa kuzuia mijadala masuala yahusuyo ndoa kwa kuwahusisha kwanza watu ambao hawako kwenye ndoa kama familia na pili wale walioachika kwenye ndoa zao make wengi wao wanachukulia ndoa kama kijiwe cha kahawa.

Wanasahau hatuwezi kupata taifa na hata viongozi bora nje ya mfumo wa familia, kuongoza familia ni mzigo mkubwa kuliko kuongoza nchi nzima na hivyo familia zilitakiwa kuwa protected na supported kwa gharama yoyote ile dhidi ya virusi hivi na vijitu kama huyo kinyamkela. So far, aliyefeli katika ndoa hawezi kuwa kioo cha jamii kwasababu wazi wazi atakuwa so pessimistic over marriages
 
Back
Top Bottom