Naomba tumsaidie Joyce Kiria wa wanawake live. Anabomoa msingi wa taifa Bora

Sifa za mwanamke aliyeachika

1.Hawana furaha ndani ya maisha yao, uchungu walio nao wanaumalizia kwa kuwashawishi wengine wawe kama wao.na hata wakiolewa tena huwa hawadumu kwenye mahusiano yao mapya.
2.Wana ushawishi mkubwa, naam hawa ndio wasemaji wakubwa wa ndoa za wengine kwenye taifa. Wafuasi wao wakubwa ni wenzao walio achika, singo mother, na walio kata tamaa ya kuolewa.Matokeo ya mafunzo yao,yanamkumba mtu moja moja kwa wakati wake kwa kukumbatia ufuasi wa jinga jinga.
3.Hutumia muda mwingi kupambana na adui wasio mjua!, adui wa mwanmke si mwanaume. bali "MALEZI NA MAKUZI YA MTU". kuna wanaume hawajui kupiga mke, lakini wake hao wanatumika "mbele na nyuma".

hizi ni harakati za biashara:
Unajua kuna biashara kubwa sana nyuma ya "kutetea haki za wanawake"
wanawake wajinga na pum.bavu ni mtaji mkubwa sana wa kibiashara wa hawa mawakala wa shetani.

Kwanini wakala wa shetani? hakuna mpaka sasa mtu moja moja au taasisi yenye kutetea maisha ya maadili, nidhamu,kujitunza na uaminifu kwa mwanamke.Mfano hai,kuna wanawake wanapiga picha za uchi, wakijiweka vidole, wanainama huku wakikata viuno, na kusabaza video na picha hizo kwa umma mawakala hawa wako kimyaa!

wanakemea vipigo kwa mwanamke kwa hisia, kwa njia ya kufikilika zaidi, Hakuna kipigo bila sababu, na kama mwanamke anapigwa bila sbb tatizo si mwanaume tatizo ni mwanamke!kwa nini unaishi na mtu kichaa? Kuna wanawake wanapigwa hata kwenye mahusiano ya boyfriend na Girlfriend, hawa nao unawaweka kundi gani?

Mwisho si kila mwanamke lazima aolewe/awe na ndoa, na wanawake wa huko kwao mpaka sasa wanaongoza kwa kuachika zaidi kuliko sehemu yoyote ile. Ndio wanaongoza kuolewa na kuachika vilevile, sababu kuu ni malezi yanawaowafanya kuwa na tabia za kiume zaidi na sio zile za jinsia yao. Hivyo sio jmbo la kushangaza kwao
 
Hicho ndicho nilikuwa najaribu kukuelewesha, nashukuru sasa tunaongeza lugha moja.
Suluhu ya ugomvi si kipigo na kupigwa bila sababu haipo na kama ipo basi inaitwa ajali (haina kinga) na kama sababu ipo basi hugeuka na kuitwa shambulio (dhamiria).
Halafu naomba nikukumbushe tu kwamba kupiga sio kikomo cha penzi mfano mzuri ni mzazi na mtoto wake....vipigo vingine (+75%) ni ONYO kwa anayepigiwa.
 
Stooooopu[emoji2331][emoji2331][emoji2331] usichangje jinsia mm ni mwanaume.

Soma tena nilichokiandika, nimesema hakuna mwanaume anayeweza kupiga mkewe bila sababu hata mara moja na sijahalisha kwamba ni halali mwanamke kupigwa.
 
Watu wa pande hiyo mbona wanajidai kujua sana? Wanasema hata madebe hayajui ndoa lakini yanatwangana sorry yanagombana/gongana bila sababu! Iwe binadamu wenye visirani? Hizi roho za uanaharakati sijui huwa zinatoka wapi?
 
Too lame!!
Please come again!
 
Stooooopu[emoji2331][emoji2331][emoji2331] usichangje jinsia mm ni mwanaume.

Soma tena nilichokiandika, nimesema hakuna mwanaume anayeweza kupiga mkewe bila sababu hata mara moja na sijahalisha kwamba ni halali mwanamke kupigwa.
Stepping on your toes, ain’t you??

Hakuna mwanaume anapiga mkewe + Hakuna mwanaume anapiga mkewe bila sababu!” End of Quote!!

Hebu tuvae viatu vya wenzawetu!
Would you take it if you were on the part of receiving??

Uko radhi kupokea batili???
Life!!
 
. Kuliko kuvunja ndoa ni bora awashauri wanawake wajinga wasiolewe. Wanawake wenye akili wana furahia maisha kwenye ndoa kuliko walio single.Ndoa ni mpango wa Mungu. Ukiwa Mwanamke mjinga usipange kuolewa.
 
Hakika mkuu.
Hawa wanawake idadi yao imekuwa kubwa sana na ndio shida zinaanzia hapo.
Kuliko kuvunja ndoa ni bora awashauri wanawake wajinga wasiolewe. Wanawake wenye akili wana furahia maisha kwenye ndoa kuliko walio single.Ndoa ni mpango wa Mungu. Ukiwa Mwanamke mjinga usipange kuolewa.
 
Kama hutaki kubondwa basi usiruhusu sababu ya kubondwa mbona rahisi tu na ikitokea ukatoa mwanya wa kupokea kisago (umemkosea mumeo) basi jipange mapema omba radhi yaishe kwa amani.
 
Kiukweli njia sahihi ya kuepuka hasira za kurusha ngumi, huwa natoka nyumbani, kimya kimya, na yeye anapata wasaa wa kujitafakari, hatupigani!
Wanawake mama zetu, dada zetu, shangazi zetu ila wana kitu inaitwa hormones, ambazo muda mwingine, huwafanya kuwa na midomo ya uchizi bin uwendawazimu.

Sipigani na mke wangu, hata anikere vipi.
Ikitokea tukashindwana basi, tutaachana kwa amani, najua nikipiga watoto watabakia uraiani hawana baba wala mama.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Binadamu yatupasa Kumcha Mungu, kumtegemea Mungu hapa Duniani na Ni yeye aliyewaunganisha wanandoa wawili lkn Mungu baada ya kuwaunganisha anasema uko katika ndoa yenu yeye atakuwepo, baada ya kuwaunganisha pia anasema ANACHUKIA kuachana isipokuwa kwa sababu ya uasherati na kama kitu Mungu anakichukia Ni sawa na kusema hakitaki kabisa.Hivyo wewe unayepigwa ukiwa Mcha Mungu piga goti muombe Mungu ambadilishe mmeo au mkeo ukiweza Funga na kuomba ukimsihi Mungu afanye na atafanya, Lkn Duniani sasa wanandoa wanafanya maamuzi katika namna ya ufahamu wa kidunia.Mama inabidi wawe wavumilivu kwa ajili ya ubaadae wa watoto wao,mtoto asiyepata Malezi kutoka kwa wazazi wake inamuwia ngumu sana kufikia ukuu wake.Hivyo simuelewi mtu ambaye solution yake kwenye matatizo ya ndoa Ni kuachana.
 
Joyce kiria Hana shida hyo ni mitazamo yake Kama wewe uliyeandika so kuniona joyce ana matatizo sidhani nyie msiopenda mitazamo yake ndio mna matatizo it's a free world
Hawa washauri wanatakiwa wawe na level ya elimu, sio utopolo kama Joyce Kiria hana elimu anasimama kwenye majukwaaa kushauri watu wenye elimu na wasio na elimu
 
Huyu dada kwanza ukitazama history yake sio mtulivu katika ndoa. Ana mdomo sana na anaonekana ni mwepesi sana kushaiwishiwa na kutombwa kirahisi iwapo anaemshawishi atakuwa vizuri kwake.....
 
Kweli kabisa.... Huyu dada huwa nikimsikia nakuwa kama namsikia shetani anaongea..... Analaana huyu malaya wa mjini......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…