Naomba tumsaidie Joyce Kiria wa wanawake live. Anabomoa msingi wa taifa Bora

Hebu kweli tuvae viatu vya uhusika..... Hivi unaweza kweli fanya jambo kwa kusudi na unajua hili jambo nitamtibua huyu mwenzangu....?!
 
Wewe Khantwe umeolewa? Kama umeolewa tupe siri ya ndoa yako kuimarika au kuvurugika. Kama hujaolewa ukae kimya.

Kwa taarifa, yanayotokea kwenye ndoa, na hasa chumbani, ni tofauti kabisa ya yale yanayoonekana nje ya ndoa. Hakuna mwanandoa jasiri wa kusema kinachoendelea chumbani zaidi ya kutwangana na kutukanana hadharani. SIRI YA CHUMBANI (ambako yasiyotegemewa hutendeka - badala ya upendo na mahaba inakuwa chuki na hasira za kupitiliza).

Ni kwa sababu ya hiyo SIRI YA CHUMBANI, wengi, hasa wanawake, hawakubali kuondoka hata kama wanapata kipigo.

Muda si mrefu nitaweka bandiko langu humu kuhusu Nafasi ya Mwanamke katika ndoa kwa Ustawi wa Familia. Naamini bandiko hili litatoa mwanga wa SIRI YA CHUMBANI
 

Hiyo paragraph ya mwisho Ina ujumbe mzito Sana, na yeyote atakayeizingatia itamsaidia Sana

Hii modern generation ya wanawake, mwanamke mwenye sifa za kuwa mke basi ni 1/10,000 hususani kwa wale wanaotoka kuleee.
 
Ni mwathirika wa ukatili na unyanyasaji wa kijinsia kwenye makuzi yake kumbuka amewahi fanya Kazi za ndani na wafanyakazi wengi wa ndani 80% unyanyaswa Sana sababu ya umasikini wao upigwa, ubezwa, ukashifiwa, utukanwa, kudhalilishwa wao uvumilia sababu ya shida na umasikini na upeo Mdogo kuhusu kusimama wenyewe kimaisha.
Sasa wanapoingia kwenye ndoa bila kutengenezwa kwa akili zao ziwe formated Ili kufuta kumbukumbu mbaya kichwani mwao huwa ni waathirika.
 
Umeongea point sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…