Maisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
huu ni unafiki! hujui huyo dada yake ameanza kuimba hata kabla diamond hajaanza kuimba? Enzi alikiba anaanza na huyu dada naye alikuwa kwenye gameMaisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
Dogo ulikuwa wapi kipindi Doreen anarap Dar Skendo?Maisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
Acha maneno weka muzikiÑimebahatik kuisikia nyimbo yake mpya kijuso ukweli uwezo wa huyu dada ni mdogo na nyimbo yake yakawaida
Ila naomba tumsupport kwa kuwa ni mwanamke wa kwanz kutok wcb tusimkatishe tamaa
Kweli masikio tumetofautiana, mbona ni bonge moja la ngoma.
Ali Kiba alimuacha.Lakin huyu Queen Dareen alitoka kabla ya domo,kilimkuta kipi?
Itakuwa una usingizi.....lala ukiamka sikiliza tena alafu uache kuvuta bange.Kweli masikio tumetofautiana, mbona ni bonge moja la ngoma.
Uko sahihi mkuu napenda sana gud music haijarishi ni WCB au kiba wasitoe nymbo ili mradi nymbo kisa wapo kwa msanii mkubwa wakajua watabebwa wasahau sisi mashabiki ndo kila kitutunasaport mziki mzuri hatusapoti eti kisa yupo wcb , kama katoa wimbo mbaya atatusibiri tuwasaport wanawake wengine wanao Fanya mziki mzuri maana wapo wengi
Jifunze kujudge kwa akili zako na maskio yako, vingine vitakujaga vikucost, people defer in test and preferencekomenti tatu za kwanza plus heading ya naomba tumsapoti ndo hata ctautafuta
asante!Jifunze kujudge kwa akili zako na maskio yako, vingine vitakujaga vikucost, people defer in test and preference
It's works automatically...kizuri kitajiuza kibaya kitajitembeza....kubebwa sio kuzuri tumeona athari za promo feki za magazeti ya udaku, msanii anakuwa na jina kubwa tofauti na uhalisiaÑimebahatik kuisikia nyimbo yake mpya kijuso ukweli uwezo wa huyu dada ni mdogo na nyimbo yake yakawaida
Ila naomba tumsupport kwa kuwa ni mwanamke wa kwanz kutok wcb tusimkatishe tamaa
Idea nzuri, ila dada kasahau kuimbaMm ni mshabiki WA mziki mzuri. Diamond nakukubali sana kwa mziki wako mzuri. But your sister amepuyanga sana. Raymond ni mzuri sana but kwenye kuahirikishwa siyo mzuri sana mf ile nyimbo ya chid Benz Dogo alipuyanga. Wasafi mnabidi muwe wasafi kweli.
Diamond usimwache Dada ako atunge nyimbo uwezo wake ni mdogo..mtungieni alafu mpeni na Melody. Nyimbo idea haikuwa nzuri.