Naomba tumsapot dada yake wa diamond kaja ni kijuso

Naomba tumsapot dada yake wa diamond kaja ni kijuso

Kweli kabisa. Akiwa mwalimu hadi watoto wa ndugu wanaolelewa na huyo familia lazima wawe waalimu
Maisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
 
Wimbo mbaya, another worse hit from wcb

Kama wcb hawatabadikilika ndio tunawapoteza hivyo
 
Maisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
huu ni unafiki! hujui huyo dada yake ameanza kuimba hata kabla diamond hajaanza kuimba? Enzi alikiba anaanza na huyu dada naye alikuwa kwenye game
 
Queen doreen kaharibu ile ngoma.. ile nafasi angekaa ruby au vanesa tungekuwa tunaongea mengine.. huyu dada ake na diamond bora awe afanye kaz ingine
 
Maisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
Dogo ulikuwa wapi kipindi Doreen anarap Dar Skendo?
 
huyu dada anazingua ,nimecheka saana leo nikireplay hili song. wamepunyanga,daa aiende kwa mwenake kiba bwana
 
Ñimebahatik kuisikia nyimbo yake mpya kijuso ukweli uwezo wa huyu dada ni mdogo na nyimbo yake yakawaida
Ila naomba tumsupport kwa kuwa ni mwanamke wa kwanz kutok wcb tusimkatishe tamaa
Acha maneno weka muziki
 
Mm ni mshabiki WA mziki mzuri. Diamond nakukubali sana kwa mziki wako mzuri. But your sister amepuyanga sana. Raymond ni mzuri sana but kwenye kuahirikishwa siyo mzuri sana mf ile nyimbo ya chid Benz Dogo alipuyanga. Wasafi mnabidi muwe wasafi kweli.
Diamond usimwache Dada ako atunge nyimbo uwezo wake ni mdogo..mtungieni alafu mpeni na Melody. Nyimbo idea haikuwa nzuri.
 
tunasaport mziki mzuri hatusapoti eti kisa yupo wcb , kama katoa wimbo mbaya atatusibiri tuwasaport wanawake wengine wanao Fanya mziki mzuri maana wapo wengi
Uko sahihi mkuu napenda sana gud music haijarishi ni WCB au kiba wasitoe nymbo ili mradi nymbo kisa wapo kwa msanii mkubwa wakajua watabebwa wasahau sisi mashabiki ndo kila kitu
 
komenti tatu za kwanza plus heading ya naomba tumsapoti ndo hata ctautafuta
Jifunze kujudge kwa akili zako na maskio yako, vingine vitakujaga vikucost, people defer in test and preference
 
Watanzani kwa unyumbu nahc hawa wcb hata wakitoa wimbo wamekohoa kwenye beat mwanzo mwisho bado watanzania wataupenda.
 
Ñimebahatik kuisikia nyimbo yake mpya kijuso ukweli uwezo wa huyu dada ni mdogo na nyimbo yake yakawaida
Ila naomba tumsupport kwa kuwa ni mwanamke wa kwanz kutok wcb tusimkatishe tamaa
It's works automatically...kizuri kitajiuza kibaya kitajitembeza....kubebwa sio kuzuri tumeona athari za promo feki za magazeti ya udaku, msanii anakuwa na jina kubwa tofauti na uhalisia
 
Naona wale wa mikataba ya sony hawataukubali binge la ngoma toka kwa, darlee
 
Nyimbo Kali alitoa moja tu alomshirikisha fundi from there sielew nn kilimpata bi da shoga...
 
Mm ni mshabiki WA mziki mzuri. Diamond nakukubali sana kwa mziki wako mzuri. But your sister amepuyanga sana. Raymond ni mzuri sana but kwenye kuahirikishwa siyo mzuri sana mf ile nyimbo ya chid Benz Dogo alipuyanga. Wasafi mnabidi muwe wasafi kweli.
Diamond usimwache Dada ako atunge nyimbo uwezo wake ni mdogo..mtungieni alafu mpeni na Melody. Nyimbo idea haikuwa nzuri.
Idea nzuri, ila dada kasahau kuimba
 
Back
Top Bottom