Naomba tupate maelezo ya kina ya kisayansi, hivi inakuwaje mtu anashangilia na kupata furaha kali pale nchi yake au wenzake wanapopata matatizo?

Kabisa
 
CCM wanachukia wasiokuwa wanachama wao au wanaotoa mawazo mbadala. Hii ndo imezaa chuki zote hizi
 
Hakuna kitu cha chuki wala nini ni hisia zako tu kujistukia kuwa watu wanahisi vipi!!
Maana corona haichagui chama sasa utashangilia vipi??
Mnastukia matendo maovu mliyotenda tena hadhalani mara watekaji mara risasi mara viroba vya maiti sasa mna ndoto za maruweruwe eti watu wanawachukia.
Tubuni hayo maovu mpatane na mliowatesa, ombeni masamaha kwa familia za mliowapoteza.
Bwn atasikia atuponye tuishi kwa amani na upendo!!
 
Watu wa hivi walishatamani kitambo kuwa kama wewe ila uwezo hawana, nawe hujui nia yao una waona juu, juu tu! wanashindwa vibaya, so wanaanza kujichukia wao wenyewe kwanza kwa kuwa roho na nafsi zao vimeshindwa kuwafanya wawe km wewe!

Tatizo hawajui kuwa wanavipaji ambavyo wewe huna. kwa sababu ya ukosefu wa maarifa ya kutambua vipaji vyao, wanakuchukia kwa sababu wewe umegundua na kutumia kipaji chako! ndiyo maana tunasisitiza someni sana vitabu, JF,FB,WTS. mpate maarifa mwanadamu anasumbuliwa na kutokujua tu basi!

Kumbuka kila mtu hapa Duniani ana kipaji chake alichopewa na Mungu, kukijua ndo kazi ipo!!! ukikijua unapiga Bingo na mibaraka sana, na ukibarikiwa tu hata uwe wapi wenye chuki watajitokeza wengi. unatakiwa ulinde Mafanikio yako,

Hali inakuwa mbaya zaidi wakikuona unavyofaidi kile ulichopata kwa kufanya kazi walizo shindwa wao! Adrenalin zinapanda mwilini mwao hizi husababishia mtu uoga, na roho kuuma sana, na hasira kila siku. ukiwapima BP hawa watu iko juu ya wastani!!!

Hakuna jinsi, na asili ya watu! hii yote sababu ni mafanikio yako, na jinsi Mungu anavo kubariki ndiyo huleta mambo haya yoote! ukitaka haya yasitokee kwako, na yasikupate kabisa fanya hivi;

Uza kila ulicho nacho, au gawa kila ktu ulicho nacho kwa watu.
Usiseme kitu chochote mahali popote.
Usiwe na Elimu yeyote wewe wala mwanao.
Usijenge nyumba , wala usinunue gari. hata mkokoteni usiendeshe!
Usiwe na familia, mke wala watoto.
Usivae nguo nzuri.
usi miliki kitu

Hakuna ktk hali km hii atakaye kusema wala kukuonea gele mpaka mwisho wa Dunia hii. jaribu.
 
Kwani yanayoendelea nchini yanafurahisha kila MTU. Au umeweka pamba masikioni
 
Binadamu kama huyo anakua amechoshwa na wanufaika wachache kumfanya kama ana Zero IQ...




Cc: mahondaw
 
Kwahiyo unajaribu kusema nini hasa hapa? Ukizingatia hata mkuu wa nchi wameshaanza kumzushia uzushi wa ajabu ajabu
 
Kwanini mlishangilia Tundu Lissu alipomiminiwa risasi zaidi ya thelathini, tuanze na hili.
Nani alishangilia? Tundu Lissu alikuja akafanya kampeni nchi nzima, kuna tatizo lolote alipata? Leo yeye ndio aanze kumuonbea mabaya mkuu wa nchi?
 
Na ndio hasa chanzo chanwatu kusambaza uzushi na tetesi za ajabu ajabu juu yake
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…