Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

FAZA HOUSE KASHAAMUA....ILA ANGEKOMAAA AHAMIE BEI NAFUU HOUSE AF AJENGE AU AFANYE MENGINE ILE PLAN YAKE SIJUI...KAAMUA TU NA WEWE NI WIFE SO UKUBALI TU BAADA YA KUMSHAURI
 
Tangulia na watoto na housegirl wako atakuja tu, nina jirani mke alimfanyia hivyo hivyo, kwanza mume alinyuti na akaona freedom si ndio hii, mke akawa akija kusalimia kwa wakwe anachukua nguo moja baada ya moja, mume mwenyewe alienda, wewe wala usipige kelele wala nini, tumia akili zaidi, mara nguo, mara viatu, akikuuliza mwambie unamuandalia mazingira akija au waenda kuzifua na kuipiga pasi vizuri!
 


kabisa yaani mm ninawaza hivi hivi ila ki ukweli tatizo ss waislamu bwana ukitoka ukienda kuishi bila ya ruhusa ya mume hapo umefanya kosa kubwa sana na hiki ndio kinachonirudisha nyuma ila ningekua nimeshahamia zamani na ningekua nimeshaimaliza finishing zote



si mnajua wanaume wa kiafrica wanahisi wakiishi ktk nyumba aliyoijenga mwanamke ataota maziwa hahahahah just jokes
 
Usiende my dia..watakufanya punda wadobi! na ole wako ukatae, katafute nyumba ya bei rahisi mbona zimeshuka bei mno kipindi hichi.
Hili Ndo Tatizo Lenu Madada Mnashawishiana Ujinga Tu Nani Kasema Ataenda Kuwa Punda Hakuna Kitu Hicho
 
Kama mlokiwa mnaishi nyumba ya gharama kubwa, tafuteni nyumba ya gharama ndogo....kuanza kujenga hadi mmalize inachukua mda mrf..na pia inategemea mmejipange je

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
hicho Kipato chako ukichanganya na cha kwake hamuwezi lipa kodi kwa kiwango hicho mlichoongezewa? Aisee manwapa Changamoto sana Watoto Pia Kuhamisha Vyombo Vyenu Pamoja na Vitanda sielewi. Labda kama kutakuwa na Nyumba inayojitegemea lakini bado I do not buy Idea.

Kama Mimi Ndiyo Baba wa Huyo Mshikaji hata huko kwao ningemtoza Kodi tu...Huo ni Uzembe Mkubwa sana kuruhusu hilo suala. Anapashwa kupambana na Changamoto na siyo Kuikimbia Changamoto
 
Usiende my dia..watakufanya punda wadobi! na ole wako ukatae, katafute nyumba ya bei rahisi mbona zimeshuka bei mno kipindi hichi.
Yan wanawake hakuna
Cku mtashauriana kwa mazur
Aiseee!! Haya ndo mnayojadili
Huko kwenye magroup yenu

[Color= yellow]Triple A[/color]
 


kinachompa nguvu ya kwenda huko kwao ni kuwa aliijenga hiyo nyumba yeye mwenyewe but haijesha isipokua chumba chake kipo
 
Kazi unayo, ila ndio hivyo mume wamtaka, wafuate wasemavyo maana. mji wao huo sio wako...


[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]


[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Yaan mimi hapo ndio nashindwa kuelewa jamani sasa shemeji yangu ananichosha tuu
 
Ebu nenda ukaishinao kwanza then kama patatokea la kukutatiza, ndipo ukuje hapa utuambie na kisha tutakushauri.
Kwasasa tukikushauri nisawa na kupiga ngumi upepo.
 
Afu anafanya kazi. Wangeamua kujenga wangejenga.sema pesa yake ni yake ila ya mume ni ya kwao wote
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Kama,nyumba wanalipa 150k
Per months unategemea kuna
Kujenga kweli hali yenywe n hii ya,
Magu bora ingekua enz,za jk

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Hili Ndo Tatizo Lenu Madada Mnashawishiana Ujinga Tu Nani Kasema Ataenda Kuwa Punda Hakuna Kitu Hicho
Ohooo we ujui familia za kiafrica acha unafiki nyingi zina migogoro, we unadhani atakua na uhuru wa kuamua mambo kama akiwa peke ake na mumewe? muda mwingine atalazimika kufanya kazi nyingi ili kuwaridhisha wakwee. Narudia tena asithubutu kwenda atakiona cha moto.
 
kinachompa nguvu ya kwenda huko kwao ni kuwa aliijenga hiyo nyumba yeye mwenyewe but haijesha isipokua chumba chake kipo
Hata kama amejenga yeye, mwambie yeye sio mtu wa kwanza kujenga kwao wapo wengi tuu wamejenga na hawabanani na familia zao, tafuteni nyumba ya bei rahisi mkae achaneni na hizo habari za kwenda kuishi ukweni
 
Hiyo ni Udhaifu Mkubwa wa Mume wako.... Heshima Uliyokuwa unapewa haitakuwepo Tena. Pia ni dharau kwa Ndugu na Jamaa kwenda kuwanyanganya Nyumba kisa Alijenga yeye.

Nakushauri nenda Mkaishi kwenye Nyumba yako ... Narudia Huo ni Udhaifu Mkubwa kwa huyo Mume Wako na Kutotaka kukubaliana na Changamoto.

Kwa wakwe zako ni sehemu ya kwenda kusalimia ila siyo pa kwenda Kuishi.
 

kwa kweli umeongea kitu cha ukweli ambacho hiko nina kifikiria sitaki maisha ya kujiact nataka niishi nikiwa na uhuru kama nikiwa kwangu na mume wangu itabidi ifikie hatua ukubaliane na viu ambavyo ukiwa wewe kama wewe hutovitaka lakini kwa kua upo under one roof na wakwe na mawifi ni lazima uvikubali sasa hapo ni kujikwaza
 
Yan wanawake hakuna
Cku mtashauriana kwa mazur
Aiseee!! Haya ndo mnayojadili
Huko kwenye magroup yenu

Triple A
Magrupu yetu na nani kichwapanzi!Kwanini unilazimishe nimshauri mawazo yako! muache akapambane na hali yake..haina haja yakwenda kwa wakwe..imeandikwa MWANAMUME ATAMWACHA BABA NA MAMA YAKE..NA ATAAMBATANA NA MKEWE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…