afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,716
FAZA HOUSE KASHAAMUA....ILA ANGEKOMAAA AHAMIE BEI NAFUU HOUSE AF AJENGE AU AFANYE MENGINE ILE PLAN YAKE SIJUI...KAAMUA TU NA WEWE NI WIFE SO UKUBALI TU BAADA YA KUMSHAURI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangulia na watoto na housegirl wako atakuja tu, nina jirani mke alimfanyia hivyo hivyo, kwanza mume alinyuti na akaona freedom si ndio hii, mke akawa akija kusalimia kwa wakwe anachukua nguo moja baada ya moja, mume mwenyewe alienda, wewe wala usipige kelele wala nini, tumia akili zaidi, mara nguo, mara viatu, akikuuliza mwambie unamuandalia mazingira akija au waenda kuzifua na kuipiga pasi vizuri!asante sana mm binafsi nimejenga nyumba ina 3 bedrooms but haina umeme mm nipo tayari kwenda tukaishi kwenye hii nyumba yangu lakini mume wangu hataki kwa kua anadai ni mbali sana usafiri tunao ila hayupo tayari kuishi ktk nyumba niliyoijenga. anataka tukaishi kwao kwa kua hiyo nyumba ya kwao aliijenga yeye ila ndio familia yote ipo humo mm nitakua na room yangu tu. yaani nachokaje sijawahi kugombana na mkwe au wifi wala shemeji naishi nao vizuri na wananipenda ila kwa kua tupo mbalimbali na nijelewa na uwezo wa kuyapuuza maudhi madogo kwa kua tulikua tupo mbali mbali sasa ninawaendea chini ya miguu yao. uuuwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Tangulia na watoto na housegirl wako atakuja tu, nina jirani mke alimfanyia hivyo hivyo, kwanza mume alinyuti na akaona freedom si ndio hii, mke akawa akija kusalimia kwa wakwe anachukua nguo moja baada ya moja, mume mwenyewe alienda, wewe wala usipige kelele wala nini, tumia akili zaidi, mara nguo, mara viatu, akikuuliza mwambie unamuandalia mazingira akija au waenda kuzifua na kuipiga pasi vizuri!
Mimi huyo ndio kanivuruga nimeshindwa kumuelewa anazungumzia kitu gani [emoji23][emoji23]Muwe mnasoma na kuelewa.
Hili Ndo Tatizo Lenu Madada Mnashawishiana Ujinga Tu Nani Kasema Ataenda Kuwa Punda Hakuna Kitu HichoUsiende my dia..watakufanya punda wadobi! na ole wako ukatae, katafute nyumba ya bei rahisi mbona zimeshuka bei mno kipindi hichi.
Kama mlokiwa mnaishi nyumba ya gharama kubwa, tafuteni nyumba ya gharama ndogo....kuanza kujenga hadi mmalize inachukua mda mrf..na pia inategemea mmejipange je
asante sana kwa ushauri wako
hicho Kipato chako ukichanganya na cha kwake hamuwezi lipa kodi kwa kiwango hicho mlichoongezewa? Aisee manwapa Changamoto sana Watoto Pia Kuhamisha Vyombo Vyenu Pamoja na Vitanda sielewi. Labda kama kutakuwa na Nyumba inayojitegemea lakini bado I do not buy Idea.habari zenu wadau mm na baba watoto tulikua tunaishi ktk nyumba ya kupanga kwa muda wa miaka minne sasa ila anataka tukaishi kwao kwa kua kidogo kodi imepanda ili tusave tuweze kuanza kujenga makazi yetu sasa jamani naomba mnipe uzoefu wa kukaa na mama mkwe baba mkwe mashemeji na mawifi ndani ya nyumba mm nikiwa nina watoto wawili wadogo 3 years na 1 year mm ni mfanyakazi naenda kazini asubuhi jumatatu hadi ijumamosi siku yangu ni moja tu jumapili kiukweli mm sipo comfortable kuenda kulundikana kwenye nyumba moja yaani nipo nafuraha nikiwa naishi kwangu. si kama siwapendi ndugu wa mume lakini sipo comfortable. hebu nipeni mawazo yenu juu ya hii ishu.
naomba mwenye lugha ya kejeli afunge mdomo wake
Yan wanawake hakunaUsiende my dia..watakufanya punda wadobi! na ole wako ukatae, katafute nyumba ya bei rahisi mbona zimeshuka bei mno kipindi hichi.
hicho Kipato chako ukichanganya na cha kwake hamuwezi lipa kodi kwa kiwango hicho mlichoongezewa? Aisee manwapa Changamoto sana Watoto Pia Kuhamisha Vyombo Vyenu Pamoja na Vitanda sielewi. Labda kama kutakuwa na Nyumba inayojitegemea lakini bado I do not buy Idea.
Kama Mimi Ndiyo Baba wa Huyo Mshikaji hata huko kwao ningemtoza Kodi tu...Huo ni Uzembe Mkubwa sana kuruhusu hilo suala. Anapashwa kupambana na Changamoto na siyo Kuikimbia Changamoto
Kazi unayo, ila ndio hivyo mume wamtaka, wafuate wasemavyo maana. mji wao huo sio wako...
Yaan mimi hapo ndio nashindwa kuelewa jamani sasa shemeji yangu ananichosha tuuhicho Kipato chako ukichanganya na cha kwake hamuwezi lipa kodi kwa kiwango hicho mlichoongezewa? Aisee manwapa Changamoto sana Watoto Pia Kuhamisha Vyombo Vyenu Pamoja na Vitanda sielewi. Labda kama kutakuwa na Nyumba inayojitegemea lakini bado I do not buy Idea.
Kama Mimi Ndiyo Baba wa Huyo Mshikaji hata huko kwao ningemtoza Kodi tu...Huo ni Uzembe Mkubwa sana kuruhusu hilo suala. Anapashwa kupambana na Changamoto na siyo Kuikimbia Changamoto
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Afu anafanya kazi. Wangeamua kujenga wangejenga.sema pesa yake ni yake ila ya mume ni ya kwao wote
Ohooo we ujui familia za kiafrica acha unafiki nyingi zina migogoro, we unadhani atakua na uhuru wa kuamua mambo kama akiwa peke ake na mumewe? muda mwingine atalazimika kufanya kazi nyingi ili kuwaridhisha wakwee. Narudia tena asithubutu kwenda atakiona cha moto.Hili Ndo Tatizo Lenu Madada Mnashawishiana Ujinga Tu Nani Kasema Ataenda Kuwa Punda Hakuna Kitu Hicho
Hata kama amejenga yeye, mwambie yeye sio mtu wa kwanza kujenga kwao wapo wengi tuu wamejenga na hawabanani na familia zao, tafuteni nyumba ya bei rahisi mkae achaneni na hizo habari za kwenda kuishi ukwenikinachompa nguvu ya kwenda huko kwao ni kuwa aliijenga hiyo nyumba yeye mwenyewe but haijesha isipokua chumba chake kipo
Ohooo we ujui familia za kiafrica acha unafiki nyingi zina migogoro, we unadhani atakua na uhuru wa kuamua mambo kama akiwa peke ake na mumewe? muda mwingine atalazimika kufanya kazi nyingi ili kuwaridhisha wakwee. Narudia tena asithubutu kwenda atakiona cha moto.
Magrupu yetu na nani kichwapanzi!Kwanini unilazimishe nimshauri mawazo yako! muache akapambane na hali yake..haina haja yakwenda kwa wakwe..imeandikwa MWANAMUME ATAMWACHA BABA NA MAMA YAKE..NA ATAAMBATANA NA MKEWE.Yan wanawake hakuna
Cku mtashauriana kwa mazur
Aiseee!! Haya ndo mnayojadili
Huko kwenye magroup yenu
Triple A