Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

Je Familia Ya Mumeo Ikijinga Mlikojenga Napo Utawakimbia?
 
Kwanza, ningependa kujua mazingira ya ukweni kwako.
Mnakwenda kuishi NYUMBA ya namna gani? MF chumba chako na mumeo kisha watoto wachanganyike na watoto wenzao au upande mmoja mtakuwa mnajitegemea kivyenu.au kuna vyumba vya kutosha lkn mnachangia baadhi ya mambo kama vile jiko.
Nikifahamu hayo ntakuwa na cha kuchangia
 
HUYO DADA KASEMA ANAMILIKI NYUMBA YAKE YA VYUMBA 3 NA GARI ILA NASHANGAA AMEISHI NA BWANA WAKE KWENYE NYUMBA YAKUPANGA NA MUMEWE KAFURIA KAMUAMBIA WAKAKAE UKWENI NDO ...
 
Ukweni Hakuna Kupika Tofauti Tofauti Sema Dada Huyu Mvivu Au Ana Mdomo Ndo Maana Kajishtukia Kwenda Sasa Ndo Aamue Aende Au Waachane
 
Huyo mumeo dish limeyumba bila shaka aisee anaogopaje maisha kiasi hicho
 
Hii inaonesha wazi unashida kubwa maana kama isingelikuwa hivyo mumeo asingalikataa kwenda kusihi kwenye nyumba unayo jenga..... halafu pengine ulikuwa unajenga bila kumjulisha
 
HUYO DADA KASEMA ANAMILIKI NYUMBA YAKE YA VYUMBA 3 NA GARI ILA NASHANGAA AMEISHI NA BWANA WAKE KWENYE NYUMBA YAKUPANGA NA MUMEWE KAFURIA KAMUAMBIA WAKAKAE UKWENI NDO ...
Ohooo basi bora aende kwenye nyumba yake, kaka arudi kwao akajipange. So stupidity of these days. Case kama hii nimekutana nayo sijui huwa wanawaza nini hadi kuanza kufanya hivyo.
 
Ukweni Hakuna Kupika Tofauti Tofauti Sema Dada Huyu Mvivu Au Ana Mdomo Ndo Maana Kajishtukia Kwenda Sasa Ndo Aamue Aende Au Waachane
Usiusemee moyo , mwache ajibu mwenyewe unless mnafahamiana.
 
Na hapo ndo itakuwa hatima ya ndoa. Kama dada yangu anathamini ndoa nadhani aende hata mwaka harafu ndo wajipange kuondoka. Saizi ni mapema kuanza kuogopa, aende akaona upande mwingine ukoje. Pia mmewe nadhani kamheshimu sana!!
 
Ohooo basi bora aende kwenye nyumba yake, kaka arudi kwao akajipange. So stupidity of these days. Case kama hii nimekutana nayo sijui huwa wanawaza nini hadi kuanza kufanya hivyo.
Mke Anajenga Bila Mume Kujua
 
Hii inaonesha wazi unashida kubwa maana kama isingelikuwa hivyo mumeo asingalikataa kwenda kusihi kwenye nyumba unayo jenga..... halafu pengine ulikuwa unajenga bila kumjulisha
Mke Kajenga Bila Mume Kujua
 
Mhh! Inategemea aina ya wakwe. Ila kwa uzoefu hapo mnaenda kukaa nyumbani na mkubali kuwa kama watoto. Kwa mujibu wa vitabu vya dini fulani, inapasa mtu aachane na wazazi na aambatane na mkewe! Hapo mnaenda kuambatana na wazazi! Yatakayowapata simooo!

Sent from my BGO-DL09 using JamiiForums mobile app
 
Watataka uwe km robot wao kila kaz ufanye ww pale unapokua hauend kazn, watakucmanga, ukckia wamecheka bas unajihs n ww, ukwen kuna mambo meng.
Binafs ckushauri sn n bora muish ht chumba kimoja cha kupanga kuliko kwenda ukwen kwan kila rangi utaiona mpk mje mhamie kwenu,

Pili mkikaa kwenye nyumba ya wazaz mnaweza ht kusahau kujenga kwan kila shida itakayotokea watatuajibnnww na mumeo, kila cku matumiz n ww na mumeo.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake liability hamjifichi lawama na kuona kila kitu mwenzio ndiyo chanzo..! Kibaya zaidi limited mind..
 
Bora ata wewe una constructive ideas..! Wanawake wengine kulaumu ( liability woman ni hatari sana)
 
Mhh! Usije ukaenda bora tu uendelee kupang mpka utakapo jenga maana utakapo enda kuish na ndugu wa mume inaweza ndo ikawa mwanz wa kugombana na ndug wa mume wako si unajua tena kila mtu ana emotion yake
 
Wa kujenga anajenga tu hata akiwa nyumba ya kupanga, huyu wake anatafuta sababu tu.
 
[emoji121]
MKUU,

ACHA UCHOYO NA UROHO,
NASISITIZA,
ACHA KABISA!!!

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…