Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Wote tu hawana mipango mizuri, huko ukweni ndio watajikuta majukumu yanaongezeka ndio watatambua "bure ghali".Mwenzangu mie hata sielew
You're very right madame! Kudos!Hiyo miaka minne ungempa saporti mume wako mngekuwa kwenu
ngoja ukaonje joto ya mawe;
habari zenu wadau mm na baba watoto tulikua tunaishi ktk nyumba ya kupanga kwa muda wa miaka minne sasa ila anataka tukaishi kwao kwa kua kidogo kodi imepanda ili tusave tuweze kuanza kujenga makazi yetu sasa jamani naomba mnipe uzoefu wa kukaa na mama mkwe baba mkwe mashemeji na mawifi ndani ya nyumba mm nikiwa nina watoto wawili wadogo 3 years na 1 year mm ni mfanyakazi naenda kazini asubuhi jumatatu hadi ijumamosi siku yangu ni moja tu jumapili kiukweli mm sipo comfortable kuenda kulundikana kwenye nyumba moja yaani nipo nafuraha nikiwa naishi kwangu. si kama siwapendi ndugu wa mume lakini sipo comfortable. hebu nipeni mawazo yenu juu ya hii ishu.
naomba mwenye lugha ya kejeli afunge mdomo wake
Acting like you know herYou're very right madame! Kudos!
She stayed with her hubby for four years without any contribution of her salary in support to her hubby; she is selfish and she use her salary on her own private matters!
Today she complain about going to live with her in laws as alternative proposed by hubby to reduce living expenses; is she a mad??
Go and swallow it dude! Why women are selfish even in supporting your children and hubby in your family??
AbsolutelyActing like you know her
Kwanza, ningependa kujua mazingira ya ukweni kwako.
Mnakwenda kuishi NYUMBA ya namna gani? MF chumba chako na mumeo kisha watoto wachanganyike na watoto wenzao au upande mmoja mtakuwa mnajitegemea kivyenu.au kuna vyumba vya kutosha lkn mnachangia baadhi ya mambo kama vile jiko.
Nikifahamu hayo ntakuwa na cha kuchangia
Mhh! Inategemea aina ya wakwe. Ila kwa uzoefu hapo mnaenda kukaa nyumbani na mkubali kuwa kama watoto. Kwa mujibu wa vitabu vya dini fulani, inapasa mtu aachane na wazazi na aambatane na mkewe! Hapo mnaenda kuambatana na wazazi! Yatakayowapata simooo!
Sent from my BGO-DL09 using JamiiForums mobile app
Pole saana sasa hapo inabidi ujikaze kike, mshauri mumeo kama walivyotangulia kukushauri wengine nendeni mkapange NYUMBA ya kawaida ambayo mtaimudu, lkn kwa kwenda kukaa ukweni kwa malengo ya kujibana ili mjenge NYUMBA yenu. Itabidi mvumilie mengi,mchangie mengi, mwisho lawama na dhihaka huku malengo yenu hayatotimia kamwe.hapo nina chumba tuu jiko pata sote sebule pata sote
Kuna watu mnakatisha tamaa[emoji63]Pole umeingia choo cha kiume dada