Sasa VPN itakusaidiaje mkuu wakati nayo inategemea connection ili kufanya kazi na pia inaweza kufanya tena izidi kuwa slow kutegemea na server unayotumia huo mzunguko.Tangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi hiki kigumu maana sidhani kama tatizo hili litatatuliwa mapema. Kuna sites kadhaa natumia kwa kazi zangu hazifunguki kabisa.
Ni changamoto sana isee..!Sasa VPN itakusaidiaje mkuu wakati nayo inategemea connection ili kufanya kazi na pia inaweza kufanya tena izidi kuwa slow kutegemea na server unayotumia huo mzunguko.
Sana lo
Ukiona hawaruhusu matumizi ya VPN kwenye tatizo kubwa kama hili, basi elewa kuwa kuna issues behind huu mziki unaoendeleaTangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi hiki kigumu maana sidhani kama tatizo hili litatatuliwa mapema. Kuna sites kadhaa natumia kwa kazi zangu hazifunguki kabisa.
Sana lo
Sana lo
vpn haiwezi fanya kazi bila internet connection. vpn lengo ni ku bypass restrictions.Tangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi hiki kigumu maana sidhani kama tatizo hili litatatuliwa mapema. Kuna sites kadhaa natumia kwa kazi zangu hazifunguki kabisa.
Tangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi hiki kigumu maana sidhani kama tatizo hili litatatuliwa mapema. Kuna sites kadhaa natumia kwa kazi zangu hazifunguki kabisa.