Kichwamoto JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 3,403 Reaction score 4,692 May 19, 2022 #1 Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani. Karibuni Sana Mungu awabariki note.
Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani. Karibuni Sana Mungu awabariki note.
kisanzala JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 440 Reaction score 252 May 19, 2022 #2 Hao jamaa nimewakubali sana ila kun mwenzao uku uraiani anaitwa Kharidi au commando mapenzi.. Yani cjui ilikuwaje nae akawa commando..!!!
Hao jamaa nimewakubali sana ila kun mwenzao uku uraiani anaitwa Kharidi au commando mapenzi.. Yani cjui ilikuwaje nae akawa commando..!!!
Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,355 Reaction score 4,476 May 19, 2022 #3 Mkuu historia yao kwa ufupi ingependeza tuwatambue kwa maslahi mapana ya uzalendo wa Nchi hii
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 May 19, 2022 #4 Na waendelee kumlinda mwenye meza wetu ili asije teleza na kuvunja miguu baada ya kupiga ile ngumu.
Jagarld JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 2,618 Reaction score 3,294 May 19, 2022 #5 Nileteeni Moses Linjenje......!
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Apr 18, 2023 #6 Jagarld said: Nileteeni Moses Linjenje......! Click to expand... Watanzania hebu tuacheni utani kwa kweli, hivi huyu Komandoo bado hajaptikana tu?
Jagarld said: Nileteeni Moses Linjenje......! Click to expand... Watanzania hebu tuacheni utani kwa kweli, hivi huyu Komandoo bado hajaptikana tu?