secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Ni dhahiri kwamba baada ya JF kupigwa ban members wengi wamekimbilia kwenye mitandao mingine.
Natumai kuwa membaz wengine wako Facebook, X (Twitter), na Instagram hiyo siyo shida sana. Shida ni kwamba members wengine sasa hivi wako TikTok wakifanya challenge ya Ngoma za akina Zuchu na Nandi.
Kinachoniuma zaidi ni kwamba members ambao sasa hivi wanatamba kule TikTok ni wale tunaowaheshimu humu na kibaya zaidi ni wa kiume.
Naiomba TCRA waifungue JF ili watu wasitopee kwenye mtandao wa TikTok.
Kama Kuna member unamjua na hujamwona tangu JF kufungiwa mwambie arudi haraka aachane na TikTok.