Ndugu wana jamvi na hasa vijana kama mimi Gen Z. Najua CCM inafanya kila liwezalo kuzima moto wa Gen Z. Ndo maana unaona wanatumia baadhi ya waislamu na baadhi ya wakiristo wanaoweza kushawishika/kununulika kirahisi. Hawa watu hawajuhi kabisa sisi vijana magumu tunayopitia.
Naomba ieleweke kuwa hii sio mambo ya udini ni haki ya watanganyika katika nchi ya Tanzania. Tunapigana kwa uhuru na haki yetu na sio swala la dini.
Tunaomba wale walioko tayari wawe ni taasisi ya kidini, kisiasa makundi ya kijamii n.k kuwa na sisi watuunge mkono wale ambao hawako na sisi wasitake kututoa kwenye reli kwa sababu ya mambo yao ya udini na uchama.
Na vijana wenzangu uwe muislamu, mpagani, mkristo tafadhari toka tarehe 9 disemba tukakomboe nchi yetu