Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Wengi ni kweli badae watakusumbua lakini kuna wachache hawatakusumbua.
Muhimu Fanya tathmini hali yake ya kipato na uchumi wake binafsi,
Je anajimudu mwenyewe?
Is she having financial independence?
Ndipo ukubali au ukatae ku-donate sperm.
Muhimu Fanya tathmini hali yake ya kipato na uchumi wake binafsi,
Je anajimudu mwenyewe?
Is she having financial independence?
Ndipo ukubali au ukatae ku-donate sperm.