Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Bebi handsome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usumbufu wake si wa kawaida. Umetulia na wife inaingia video call mtoto katangulizwa Mbele
[emoji23][emoji23]Ubunifu wa Kiwango Cha KOVIDOL
[emoji16]Kuna mmoja aliniwekea ofa ya kiwanja Kigamboni, mara naanza kusikia stori za kaungua, ikabidi nivute handbrake mwaka wa tatu saivi najitafakari mbele trafiki, nimevuka zebra na sina bima [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]Kuna mmoja akanambia kwetumasoko, mi nataka mtoto, nikamuuliza kwa kipato kipi eti mi ntalea mwenyewe. Hapo nikaona asiniletee uchuro! marathoni iliniokoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanatawanyika heheeeMbona na nyie huwa mnawaambia hivyo hivyo wanawake kwamba akubebee mimba utalea mtoto. Af mnatawanyika[emoji57]
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Hiyo kauli ya mwisho sikuielewa mwanzo ila nilivyorudia kusoma nikaelewa...aisee wanawake hawa hela yako utaishia kuigusaa tuu ilee inasepaaBadae anakubadilikia na kwakua ni Siri atakutishia kwenda kumwambia mkeo,, ukijaribu kumzuia anakupa mashart ya kutekeleza kabla hajakisanua,, hapo ndo kipindi utakachoona ni dizai gan pesa inapitia kwako kama daraja tu
Nimekubali sana hii kweli kabisa hufanya risk assessment (Cost-Benefit Analysis) kulingana na kipato chako. Wanajua hapo ukikataa mkienda mahakamani atapata matunzo ya kutosha. Mimba za maskini wanazipiga abortion au P2 tu.Wadada wa mjini ndiyo zao, wanaku-approach eti tuzae tu (sperm donor) hasa wanaume walio kwenye ndoa na angalau unajiweza kiuchumi. So, anakuambia anaomba mzae tu eti hatakusumbua, haipogo hivyo wakulungwa. Ukijichanganya ukazaa naye utajuta.
Kabla, bibie hufanya risk assessment (Cost-Benefit Analysis) kulingana na kipato chako. Hawaji kichwa-kichwa, so kama huna hela hawa utawasikia kwa wenye hela tu.
Siku analianzisha unashangaa hivi huyu si ndiyo alisema hatanisumbua?
View attachment 1677228
😀 😀 😀 😀aisee mwanamke akikwambia tunazaa tu ntalea kimbia ufeeee...usigeuke nyuma kabisa akiona kuna maslahii mwisho wake mbayaa yani utasotaaa balaaaa.. huyo jamaa ako awe mvumilivu ndo zile kesi mtu anaua mzazi mwenzie ili mradi achukue mtoto apumzike keroo za mwanamke aliezaa nae.Mwanangu ni chotara fulani wa kijerumani aliombwa awe sperm donor akachomoa, baada ya mwezi akapewa dola buku mbili na demu ili alegeze msimamo wake lakini akachomoa tena na hela akala, demu ni single mama alizaaga na kibabu cha kizungu kilishakufa alipangiwa masaki na hiko kibabu, baada ya miezi miwili mwamba akapewa tena dola buku mbili, kwa utamu wa hela si akalegeza, pewa sana viuno demu akanasa [emoji23]
Wakati huo mwamba anajenga Goba na ana kiwanja Kigamboni. unfortunately alisha chumbia tayari demu wake aliyempenda si akampiga chini.
Mshkaji tupo taasisi moja ya fedha.
Leo hii mwanangu anahenya, anajuta, katepeta, mwanamke kamkalia kooni kinoma ishu za child support...demu alikuja hq customer care pale kumuulizia akajibiwa hayupo ila alikuwepo lakini aliashatoa taarifa akiuliziwa waseme hayupo, kumbe alimuona asubuhi wakati anaingia alileta bonge la vurugu mbele ya wateja full matusi na kumtaja jina mwamba akidai child support haitoshi mpaka askari na security wa galdaworld wakaja mbeba juu juu...ilikuwa taharuki na noma sana, mwamba alichezea warning letter moja nzito sana toka kwa HR.
"Tulimwambia be careful with this woman before"
akaona kama kaokota dodo mchangani, zile dola zilimtoa akili akaona kapata mtoto wa bill gates... [emoji23][emoji23]
Wakati umeme wa mgao juzi kati demu anadai watoto hawalali joto ndani anataka jenereta, mara 500k kwa mwezi haitoshi, anatumia house maid wawili wa nyumba na wa watoto tu, demu hataki kukaa uswahilini, anataka apartments mbweni baada ya masaki kodi kuisha na kuona hawezi mudu tena, akiona nyumba haileweki anataka jamaa atafute nyumba nyingine haraka, bado hataki school bus ipeleke watoto shule bali anunuliwe gari IST apeleke mwenyewe wanae shuleni hawaamini school bus driver, bado matusi mazito hela ya matumizi ikichelewa...[emoji23][emoji23]
Central police & Oysterbay police mwamba kutwa kwenye dawati la jinsia na yule demu...!
Ila hawa viumbe hawa Mungu tu ndio anajua nia yao wakati wanakutaka....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Si ndioo🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanatawanyika heheee
Aende ustawi wa jamii wakayaweke sawa kisheria.Mwanangu ni chotara fulani wa kijerumani aliombwa awe sperm donor akachomoa, baada ya mwezi akapewa dola buku mbili na demu ili alegeze msimamo wake lakini akachomoa tena na hela akala, demu ni single mama alizaaga na kibabu cha kizungu kilishakufa alipangiwa masaki na hiko kibabu, baada ya miezi miwili mwamba akapewa tena dola buku mbili, kwa utamu wa hela si akalegeza, pewa sana viuno demu akanasa [emoji23]
Wakati huo mwamba anajenga Goba na ana kiwanja Kigamboni. unfortunately alisha chumbia tayari demu wake aliyempenda si akampiga chini.
Mshkaji tupo taasisi moja ya fedha.
Leo hii mwanangu anahenya, anajuta, katepeta, mwanamke kamkalia kooni kinoma ishu za child support...demu alikuja hq customer care pale kumuulizia akajibiwa hayupo ila alikuwepo lakini aliashatoa taarifa akiuliziwa waseme hayupo, kumbe alimuona asubuhi wakati anaingia alileta bonge la vurugu mbele ya wateja full matusi na kumtaja jina mwamba akidai child support haitoshi mpaka askari na security wa galdaworld wakaja mbeba juu juu...ilikuwa taharuki na noma sana, mwamba alichezea warning letter moja nzito sana toka kwa HR.
"Tulimwambia be careful with this woman before"
akaona kama kaokota dodo mchangani, zile dola zilimtoa akili akaona kapata mtoto wa bill gates... [emoji23][emoji23]
Wakati umeme wa mgao juzi kati demu anadai watoto hawalali joto ndani anataka jenereta, mara 500k kwa mwezi haitoshi, anatumia house maid wawili wa nyumba na wa watoto tu, demu hataki kukaa uswahilini, anataka apartments mbweni baada ya masaki kodi kuisha na kuona hawezi mudu tena, akiona nyumba haileweki anataka jamaa atafute nyumba nyingine haraka, bado hataki school bus ipeleke watoto shule bali anunuliwe gari IST apeleke mwenyewe wanae shuleni hawaamini school bus driver, bado matusi mazito hela ya matumizi ikichelewa...[emoji23][emoji23]
Central police & Oysterbay police mwamba kutwa kwenye dawati la jinsia na yule demu...!
Ila hawa viumbe hawa Mungu tu ndio anajua nia yao wakati wanakutaka....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Point. Co-parenting kama kiasi ni 89,000 TSH kwa mwezi basi ni 89,000/2= 44,500 TSH kwa mwezi kwa kila mzaziAende ustawi wa jamii wakayaweke sawa kisheria.
Hizi drama zitaisha.
Hakuna sheria inayokutaka wewe ndio uwe mtoaji wa kila kitu kwa mwanamke ambaye sio mkeo .
Mnachangia
Tunawaoneaga huruma tu.
Hatujakuelewa MkuuUnguja Ni balaa maana Kuna jamaa anahonga magari kwa exchange ya public view