DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Uzi wako udumu vizazi na vizazi[emoji4]Kazi kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi wako udumu vizazi na vizazi[emoji4]Kazi kazi
Public view?Unguja Ni balaa maana Kuna jamaa anahonga magari kwa exchange ya public view
Sasa mkuu si bora Dar kuliko huko Zenji?Dah utajutra tena? Mi ndo maana Dar huwa napita njia tu nikielekea Zenji.
[emoji38][emoji38][emoji38]pole Sana mkuuIshakula kwangu aisee ivi viumbe sio vyakuamini daaah.
Nimekipa mimba kikaondoka kwenda kwao iringa huko kimekaa 2 wks kinaanza kuomba hela sjui ya nn.
Lazima uvute handbrake kwanza[emoji4]"Nitalea mwenyewe" huku anakupiga mizinga ya kusuka na vocha
[emoji38]Mwanamke akikupenda lazima akutegeshee mimba... Kuna mmoja siku hiyo nilihisi kabisa nimemwaga ndani nikampa hadi hela ya P2...
Yaani huyo mwanamke alikuwa anajua kabisa mimi nina mke na aliniambia anamuogopa mke wangu, ila yuko tayari kuwa mpango wa kando na hawezi kujaribu kuharibu uhusiano wangu na mke mkubwa.
*****, siku moja nikashangaa naletewa Mimba, yaani siku hizi tunalea na anataka nimuoe...
Wanawake huwa wanaongeaga na shetani directly.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uboya kapime DNA umalize utata,kwa nn uishi kwa mashaka.Mimi nafikiri kuwa nilitegeshewa kabisa mwanamke alinizungusha sana kuna siku nikamwambia nakuja mkoa x na yeye alikuwa kwenye mkoa huo.
Nilichelewa kufika kwenye mkoa kulingana na mda niliyotarajia. Ila alinisubiri tukaonana tukaongozana kwenye Lodge niliyofikia.
Nikaona leo huyu binti amenizungusha sana Leo simuachi, kweli nikapewa akaondoka maana usiku ulikiwa umeingia na nyumbani kwao wakaanza kupiga simu.
Kwa sababu nilikuwa napita naenda mkoa mwingine kuna kazi nilikuwa nafanya nikamwambia njoo kweli kadanganya huko kaja.
Siku hiyo nimejilia mara kasema anasikia sijui bleed nikamwambia nunu pedi mimi nikasepa kwenye kazi jioni narudi hamna cha bleed kabisa.
Baada ya mwezi naambiwa nina mimba nilipigwa na butwaa na akasema hajalala na mtu mwingine zaidi yangu. Nyumbani kwao wakacharuka wakamfukuza aende kwa aliyempa mimba.
Ikibidi nimwambie atafute chumba nikalipia na kununua vyombo vya kuanzia .
Ikafika muda wa kujifungua cha ajabu akajifungua mwezi mmoja kabla ya tarehe za kawaida nikamuliza imekuwaje kama mimba ni ya kwangu mbona imekuwa hinyo kakomaa mimba ni yangu kama huamini tupome DNA.
Nikawa natowa matumizi hivyo hivyo mpaka sasa mtoto ni mkubwa na walipoona mtoto amekuwa mkubwa wakamrudisha kwao mpaka sasa yupo kwao na nendelea kugharamia kwa matumizi.
Mpaka huwa najiuliza sana lakini sipati majibu huyu mwanamke aliwaza nini
Mtoto sasa hivi ni mkubwa na hana hata chembe ya kufanana na mimi wala hata watoto wangu ila nimeamua kutoa matumizi
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Jina anatumia la ukoo wako?Mimi nafikiri kuwa nilitegeshewa kabisa mwanamke alinizungusha sana kuna siku nikamwambia nakuja mkoa x na yeye alikuwa kwenye mkoa huo.
Nilichelewa kufika kwenye mkoa kulingana na mda niliyotarajia. Ila alinisubiri tukaonana tukaongozana kwenye Lodge niliyofikia.
Nikaona leo huyu binti amenizungusha sana Leo simuachi, kweli nikapewa akaondoka maana usiku ulikiwa umeingia na nyumbani kwao wakaanza kupiga simu.
Kwa sababu nilikuwa napita naenda mkoa mwingine kuna kazi nilikuwa nafanya nikamwambia njoo kweli kadanganya huko kaja.
Siku hiyo nimejilia mara kasema anasikia sijui bleed nikamwambia nunu pedi mimi nikasepa kwenye kazi jioni narudi hamna cha bleed kabisa.
Baada ya mwezi naambiwa nina mimba nilipigwa na butwaa na akasema hajalala na mtu mwingine zaidi yangu. Nyumbani kwao wakacharuka wakamfukuza aende kwa aliyempa mimba.
Ikibidi nimwambie atafute chumba nikalipia na kununua vyombo vya kuanzia .
Ikafika muda wa kujifungua cha ajabu akajifungua mwezi mmoja kabla ya tarehe za kawaida nikamuliza imekuwaje kama mimba ni ya kwangu mbona imekuwa hinyo kakomaa mimba ni yangu kama huamini tupome DNA.
Nikawa natowa matumizi hivyo hivyo mpaka sasa mtoto ni mkubwa na walipoona mtoto amekuwa mkubwa wakamrudisha kwao mpaka sasa yupo kwao na nendelea kugharamia kwa matumizi.
Mpaka huwa najiuliza sana lakini sipati majibu huyu mwanamke aliwaza nini
Mtoto sasa hivi ni mkubwa na hana hata chembe ya kufanana na mimi wala hata watoto wangu ila nimeamua kutoa matumizi
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Inakuwaje unajua huyu ni mume wa mtu afuu unaomba kuzaa naye....sikutesa watoto jaman
Huu ni mwendelezo, walianza kuongeza na shetani kule Edeni akawapa mbinu za kuwalaghai wanaume