DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
[emoji23][emoji23]hamna hakimu atasikiliza huo utopoloAkinipeleka mahakamani, nitajitetea "ndugu hakimu, aliniomba tu mbegu, kwa kuwa nilikuwa nazo nikampa" kosa langu ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]hamna hakimu atasikiliza huo utopoloAkinipeleka mahakamani, nitajitetea "ndugu hakimu, aliniomba tu mbegu, kwa kuwa nilikuwa nazo nikampa" kosa langu ni nini?
Umenifumbua JICHOBadae anakubadilikia na kwakua ni Siri atakutishia kwenda kumwambia mkeo,, ukijaribu kumzuia anakupa mashart ya kutekeleza kabla hajakisanua,, hapo ndo kipindi utakachoona ni dizai gan pesa inapitia kwako kama daraja tu
Kuna Wanawake Ni ma-mafia Sana aiseeBadae anakubadilikia na kwakua ni Siri atakutishia kwenda kumwambia mkeo,, ukijaribu kumzuia anakupa mashart ya kutekeleza kabla hajakisanua,, hapo ndo kipindi utakachoona ni dizai gan pesa inapitia kwako kama daraja tu
Pole Sana chiefMkuu sio simsikii hapa sina akiba napata hela tunakula na kulea tu,nisharudishwa nyuma
Unamwangalia hivi huyu ndio yule alisema hatanisumbua??View attachment 1456913
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee!iyo kitu haipo[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu unabonyea wkt umeachiwa goli wazi ufunge kimadoido
So anakuambia anaomba mzae tu eti hatakusumbua, haipogo hivyo Wakulungwa ukijichanganya ukazaa naye utajutraa.
Mzee wanawake wanakuaga desperate SAA zngne so hata maneno yake yanaweza Kua Sio akili yake kabsa dem anaweza kumpa mtu show Kisa tu kawa mpweke lakini asikupende na kitu kngne sisi wanaume tunachangia Sana malezi ya watoto wetu yawe mabovu hua haingilii akilini uzae na mtu na mwanaume Mzma utegemee atalelewa na mama tu hio haumtendei haki mtoto hata Kama mama yake Ali promise atalea mwenyew u still have to stand as a man watu Kama ninyi ndo mwsho wa siku mnafanya kuwalaani watoto wenu Kumbe sumu iliipanda tokea MTOto hajazaliwa..Yashataka kunikuta. Nilikuwa na manzi mmoja ktk mahusiano. Ukaingia mwaka wa pili akauliza kuhusu ndoa,nikamwambia wazi siko tayari kwa ndoa. Sitaki kukusumbua mbeleni.
Akasema poa. Nikajiweka wazi kwake kwamba Mimi sio muoaji. Na kweli nilimaanisha from my heart.
Mgegedo na bata vikaendelea. After some months Mimi nikahama maeneo,kutoka kwa kiga mpaka sinza. Bado akanikumbushia,ila now akasema anaomba tuzae tu then kulea atapambana mwenyewe. Yaani nikimsaidia sawa nikimchunia malezi sawa. Mimi nikamkatalia kwa sababu nilijua madhara yake.
Akawa anakuja mchezo unachezwa anarudi home. Baada ya km miezi miwili akaja akakaa km siku sita hivi. Alikuwa na off flani kazini kwao. Ila alivyoondoka mwezi huohuo mwishoni akanambia hajielewi afya yake. Nikamwambia ttzo nn akasema anahisi itakuwa kitumbo kujaa(mimba). Nikamwambia akapime. Majibu haya hapa,kitu kweli aiseee. Nikamwambia hongera jiandae kulea. Alichonambia sasa. Hawa watu wa Beijing wajinga sana.
Akasema amefurahi sana,anatamani ahamie kwangu ili rahisi kumlea,then atakuwa anatokea sinza Hadi kazini kigamboni. Mi nikamkumbushia maelezo yake ya mwanzo. Ulikuw ugomvi mkubwa sana. Akaamua kutoa mimba. Akanilaumu sana. Baadae kwa hasira zake nikajua km mimba ile aliitegeshea.
From there na relationship ikafa. Now kaolewa na kashazaa mtoto mmoja. Anatamba naye fb kule.
Hawa watu hawaaminiki hata