"Naomba tuzae sitakusumbua kulea." Hii haipo

"Naomba tuzae sitakusumbua kulea." Hii haipo

Aisee,unabahati sana ..ukiona mwanamke anakutafuta Kwa kutumia gharama kubwa ujue kuna kitu hakipo sawa hapo...
Kuna mmoja aliniwekea ofa ya kiwanja Kigamboni, mara naanza kusikia stori za kaungua, ikabidi nivute handbrake mwaka wa tatu saivi najitafakari mbele trafiki, nimevuka zebra na sina bima [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke akikupenda lazima akutegeshee mimba... Kuna mmoja siku hiyo nilihisi kabisa nimemwaga ndani nikampa hadi hela ya P2...

Yaani huyo mwanamke alikuwa anajua kabisa mimi nina mke na aliniambia anamuogopa mke wangu, ila yuko tayari kuwa mpango wa kando na hawezi kujaribu kuharibu uhusiano wangu na mke mkubwa.

*****, siku moja nikashangaa naletewa Mimba, yaani siku hizi tunalea na anataka nimuoe...

Wanawake huwa wanaongeaga na shetani directly.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke anayo akili kubwa ya maisha kuliko mwanamme. Hawa watu wanacalculate mambo yao kwa uwezo mkubwa.
Soft psychology inawapa uwezo mkubwa wa kumdanganya mwanamme. Na kwa ujinga wa mwanamme kumuona Mwanamke kama mama yake hadi kufika hatua ya kumuita mke wake Mama inamcost sana.

Men Be careful with women . You must have some elements of Hatred towards these people, a little hatred indeed.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hebu usitudhalilishe. Yaani sisi wanaume tuwe wajinga, are you even serious?!

Jambo moja ni kwamba sisi wanaume tupo loyal that's all.... Loyalty sio ujinga ni consideration. Sasa tukiwa makauzu si ndio unaona Ma'single mother mnawajaza mtaani huko?!

Acha kuchanganya habari bwana.
 
1. Wadada wa mjini ndo zao wanaku-approach eti tuzae tu (sperm donor) hasa Wanaume walio kwenye ndoa na angalau unajiweza kiuchumi. So anakuanbia anaomba mzae tu eti hatakusumbua, haipogo hivyo Wakulungwa ukijichanganya ukazaa naye utajutraa.

2. Kabla, Bibie hufanya Risk assessment (Cost-Benefit Analysis) kulingana na kipato chako, hawaji kichwa-kichwa, so kama Huna hela hawa utawasikia kwa wenye hela tu.

3. Siku analianzisha unashangaa hivi huyu si ndo alisema hatanisumbua?
Juzi tu nimetoka kuikwepa moja ilikuja na gia hiyo
 
Back
Top Bottom