"Naomba tuzae sitakusumbua kulea." Hii haipo

"Naomba tuzae sitakusumbua kulea." Hii haipo

Mimi kuna mwanamke aliniambia nikimpa mimba ,ataninunulia nyumba aisee.,!..Ila nilikataa.

Kuna mmoja aliniwekea ofa ya kiwanja Kigamboni, mara naanza kusikia stori za kaungua, ikabidi nivute handbrake mwaka wa tatu saivi najitafakari mbele trafiki, nimevuka zebra na sina bima [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom