Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,246
- 2,299
Kuna mmoja tangu mwaka juzi ananiambia niko tayari kuzaa,mimi nikajua utani nikamuuliza na nani akasema na mimi,mwaka jana hivyo hivyo nikajua utani.Mwaka huu kajipa mimba yangu ndo nikakumbuka yote sasa hivi analea