- Thread starter
- #21
Mimba Ikishaingia tu utasikia tu nirushie 30,000/= nna hamu ya embe. Unabaki kushangaa huyu hatanisumbua akishazaaUnamwangalia hivi huyu ndio yule alisema hatanisumbua??View attachment 1456913
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimba Ikishaingia tu utasikia tu nirushie 30,000/= nna hamu ya embe. Unabaki kushangaa huyu hatanisumbua akishazaaUnamwangalia hivi huyu ndio yule alisema hatanisumbua??View attachment 1456913
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nini public viewUnguja Ni balaa maana Kuna jamaa anahonga magari kwa exchange ya public view
Hivi tsh 30000 ni maembe mangapi vile? Itabidi umjibu hivyoMimba Ikishaingia tu utasikia tu nirushie 30,000/= nna hamu ya embe. Unabaki kushangaa huyu hatanisumbua akishazaa
haha nilihisi tu ulikuwa moto , mana mzigo ulifunga safari kutoka mkoa kuja kuniletea hiyo inayoitwa zawadi yangu kwake, kibendi jazz bandUngejaribu uone moto
Atafute eh.....Mwanaume asie na hela hata akiulizwa tu saa ngapi anakuwa na hasiraaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Sina hela ndo maana nikastuka kuwa sitasumbuliwa kweli? Maana Bora hata ningekua nazo hizo hela
Vipi kama naye ameolewa?Wadada wa mjini ndo zao wanaku-approach eti tuzae tu (sperm donor) hasa wanaume walio kwenye ndoa. Halafu eti hatakusumbua, haipogo hivyo Wakulungwa ukijichanganya ukazaa naye utajutraa.
Hapo Kama mume kachoka na wewe mambo safi ujiandae kula nyepu forever n ever. Maana utakua mzazi mwenzake (kisiri). In other words utakua umeoa mke wa nyongeza bila kutarajia.Vipi kama naye ameolewa?
Haa 😀😁😂😅😄😃Mwanaume asie na hela hata akiulizwa tu saa ngapi anakuwa na hasiraaa
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Mwanaume asie na hela hata akiulizwa tu saa ngapi anakuwa na hasiraaa
Sent using Jamii Forums mobile app