Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
😂😂😂
Dah utajutra tena? Mi ndo maana Dar huwa napita njia tu nikielekea Zenji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah utajutra tena? Mi ndo maana Dar huwa napita njia tu nikielekea Zenji
hahahahahaTicking time bomb.
Mkifika mahakamani mnaanza Moja,Akitaka azae ns mimi na hatonisumbua yani tunaandikishiana na Mwanasheria wangu na wake akiwa naye awepo. Yani ikiwezekana hadi nyongeza ya Wenyeviti wa Serikali ya Mtaa wawepo ili tusaini Mkataba vizuri. Hapo hatotoboa
Ashapigwa uko,Mimi nafikiri kuwa nilitegeshewa kabisa mwanamke alinizungusha sana kuna siku nikamwambia nakuja mkoa x na yeye alikuwa kwenye mkoa huo.
Nilichelewa kufika kwenye mkoa kulingana na mda niliyotarajia. Ila alinisubiri tukaonana tukaongozana kwenye Lodge niliyofikia.
Nikaona leo huyu binti amenizungusha sana Leo simuachi, kweli nikapewa akaondoka maana usiku ulikiwa umeingia na nyumbani kwao wakaanza kupiga simu.
Kwa sababu nilikuwa napita naenda mkoa mwingine kuna kazi nilikuwa nafanya nikamwambia njoo kweli kadanganya huko kaja.
Siku hiyo nimejilia mara kasema anasikia sijui bleed nikamwambia nunu pedi mimi nikasepa kwenye kazi jioni narudi hamna cha bleed kabisa.
Baada ya mwezi naambiwa nina mimba nilipigwa na butwaa na akasema hajalala na mtu mwingine zaidi yangu. Nyumbani kwao wakacharuka wakamfukuza aende kwa aliyempa mimba.
Ikibidi nimwambie atafute chumba nikalipia na kununua vyombo vya kuanzia .
Ikafika muda wa kujifungua cha ajabu akajifungua mwezi mmoja kabla ya tarehe za kawaida nikamuliza imekuwaje kama mimba ni ya kwangu mbona imekuwa hinyo kakomaa mimba ni yangu kama huamini tupome DNA.
Nikawa natowa matumizi hivyo hivyo mpaka sasa mtoto ni mkubwa na walipoona mtoto amekuwa mkubwa wakamrudisha kwao mpaka sasa yupo kwao na nendelea kugharamia kwa matumizi.
Mpaka huwa najiuliza sana lakini sipati majibu huyu mwanamke aliwaza nini
Mtoto sasa hivi ni mkubwa na hana hata chembe ya kufanana na mimi wala hata watoto wangu ila nimeamua kutoa matumizi
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sorry Mr BushokeMimi nafikiri kuwa nilitegeshewa kabisa mwanamke alinizungusha sana kuna siku nikamwambia nakuja mkoa x na yeye alikuwa kwenye mkoa huo.
Nilichelewa kufika kwenye mkoa kulingana na mda niliyotarajia. Ila alinisubiri tukaonana tukaongozana kwenye Lodge niliyofikia.
Nikaona leo huyu binti amenizungusha sana Leo simuachi, kweli nikapewa akaondoka maana usiku ulikiwa umeingia na nyumbani kwao wakaanza kupiga simu.
Kwa sababu nilikuwa napita naenda mkoa mwingine kuna kazi nilikuwa nafanya nikamwambia njoo kweli kadanganya huko kaja.
Siku hiyo nimejilia mara kasema anasikia sijui bleed nikamwambia nunu pedi mimi nikasepa kwenye kazi jioni narudi hamna cha bleed kabisa.
Baada ya mwezi naambiwa nina mimba nilipigwa na butwaa na akasema hajalala na mtu mwingine zaidi yangu. Nyumbani kwao wakacharuka wakamfukuza aende kwa aliyempa mimba.
Ikibidi nimwambie atafute chumba nikalipia na kununua vyombo vya kuanzia .
Ikafika muda wa kujifungua cha ajabu akajifungua mwezi mmoja kabla ya tarehe za kawaida nikamuliza imekuwaje kama mimba ni ya kwangu mbona imekuwa hinyo kakomaa mimba ni yangu kama huamini tupome DNA.
Nikawa natowa matumizi hivyo hivyo mpaka sasa mtoto ni mkubwa na walipoona mtoto amekuwa mkubwa wakamrudisha kwao mpaka sasa yupo kwao na nendelea kugharamia kwa matumizi.
Mpaka huwa najiuliza sana lakini sipati majibu huyu mwanamke aliwaza nini
Mtoto sasa hivi ni mkubwa na hana hata chembe ya kufanana na mimi wala hata watoto wangu ila nimeamua kutoa matumizi
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
utaambiwa lete mashahidi wako tuwaoneAkinipeleka mahakamani, nitajitetea "ndugu hakimu, aliniomba tu mbegu, kwa kuwa nilikuwa nazo nikampa" kosa langu ni nini?
Hapo ndo utata uja[emoji4]utaambiwa lete mashahidi wako tuwaone